Hata Ikulu unahamia. Ni wewe tu. Tafuta ikama kwaanza huko unakotaka kuhamia. Then andika barua rasmi ya maombi kwenda huko kupitia kwa mwajiri wako. Ukijibiwa kuwa nafasi ipo, then unaomba kibali Ofis ya Rais-Utumishi.Wana JF kwema!
Je, inawezekana mtumishi wa halmashauri kuhamia kwenye mashirika ya Uma yan SU..mf..vyuo vikuu au necta..tcu.. au serikali kuu.. na kama inawezekana naombeni muongozo yan procedure ili niwe aweare.
Yaah..nadhani watumishi wengi wa umma wapo halmashauri.Ila mkuu, mbona kama naona huko kwenye mahlmashauri ndo mmeajiri watu wengi sana... Kwa mfano hawa waalimu, manesi, madaktari, sisi mabwana Shamba na mifugo, maafisa maendeleo hawa wote si wako chini ya Halmashauri zao husika Au..?
Nimecheka hadi bacHahaaa..halmashauri..DEC bosi wako..RC&DC mabossi zako..Mkuu wa idara bosi wako..mkuu wa kitengo bosi wako..baraza la madiwani bosi wako..hadi watu wa masijara nao wanakuvimbia wakati flani..walinzi nao kuna wakati wanakuvimbia...tabu tupu.
Majungu majungu..kuchongeana kuoneana wivu ndio kumejaa huko..ukianzisha ka mradi maneno kibao kuanzia mtaani hadi ofsini.
#MaendeleoHayanaChama