Kugongana kwa mabasi Sauli na New Force lilikuwa jambo la Muda tu

New force ni ya Wachina, nilipoonaga wafanyakazi wao wanaanza uswahili wa kupanga vindoo vya Lita 10 kwenye corridor ili kupakia abiria zaidi nilishaachana nao, halafu usb cable hazifanyikazi ndio sitaki hata kulisikia.

Wale Wachina wanaishia ofisini Ubungo, kinachoendelea kwenye mabasi yao huenda hawaelewi kitu.
Babara yenye magari yenye uhakika ni Dar kasikazini pekee, route zingine zote Tanzania ni ubabaifu tu
 
ajali ndio zipo hatukatai na haya magari hayana guarantee ya uhai wetu ila Hizo Bus sijawahi kuzipata kabisa .... nakumbuka siku moja nlionekana na dharau ... Mimi ni bora ni postpone safari kuliko kupata hizo kampuni
Wapuuz kabisa hao...hua sielew kwa nn watu wanakuw comfortable kabisa kupanda hizo gari. Tunajua ajali popote ila hao kwa ligi zao wanarisk kubwa sana
 
Wakati polisi na zima moto wanafanya juhudi za kuwaokoa, na moto ukalipuka.kwanini uliuwa tu abiria hao na kuwaacha polisi na zimamoto hakuna aliyepata madhara, au moto ulichagua

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom