Kugombana na mpenzi

Huyo jamaa hajielewi kwan huyo binti ana tv mwilini mpaka ashindwe kumpotezea?
 
yani nakuambia ukweli namuacha tena bila kupepesa macho nitakuala mapenzi mimi? nitaendesha mapenzi we pesa kwanza nitajifunza kupenda huko huko..
Hujawahi kupenda wewe,pesa haina nguvu kama mapenzi trust me
 
alikuwa nazo kiasi wananitafuta wenye mapesa zaidi nikamaganda mwisho wa siku nikavutwa na mapesa.. chalii tafuteni pesa
Duuuh,ukilinganisha uliyemuacha na mwente pesa yupi alionesha kukujali ba kukupenda zaidi??
 
Hizi kauli zinawacost sana ndio maana mnabaki kulalamika,miaka mitano anamchezea tuu binti wa watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I dont knw if its easy like that
 
Sasa ameshajaribu kumtafuta kwa njia hizo..Au ndo anaumwa hadi kutembea hawezi
He tried kwenda chuo,but hajawhi kumpata,n kwenda kwao its not that easy,jamaa hakujitambulisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…