Kugombana na mpenzi

Kugombana na mpenzi

Kwanza ondoa huo ukabila.
Kama ameshaambiwa anateswa sie tumshaurije, kama anaweza kuvumilia mateso ka Yesu basi na avumilie tuu, hawezi aachane nae afanye mambo mengine ya maendeleo
Mie hata sijaelewa hii habari kwakweli.
 
Siwapendi wanawake fyuuu.
Sijui lini tutahamia sayar ya mars tukapate minato ya uhakika huko
 
km bint n mchaga,ajiandae kulia zaid huko mbeleni. namshauri agive up,aendelee kutafuta maendeleo yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom