miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
ndiyo ila sa hivi simpendiNa ndo yeye nadhani ulimpenda zaidi??
ndiyo ila sa hivi simpendiNa ndo yeye nadhani ulimpenda zaidi??
Kwanini??ndiyo ila sa hivi simpendi
Hajampata kwa maana ipi..Msichana chuoni haendi??..He tried kwenda chuo,but hajawhi kumpata,
Mkuu we wa ushuani nn?..uswazi msichana sio lazima ukapige hodi kwao ili kuonana nae..Jamaa yako naona hajafanya juhudi za kutosha..Hasihukumu moja kwa moja..Ajaribu kumtafuta msichana waongee nae..Na inawezekana msichana ana matatizo ndo mana hapatikani..Amejaribu kulifikiria hilo??n kwenda kwao its not that easy,jamaa hakujitambulisha
Class analosoma halifaham,Hajampata kwa maana ipi..Msichana chuoni haendi??..
Mkuu we wa ushuani nn?..uswazi msichana sio lazima ukapige hodi kwao ili kuonana nae..Jamaa yako naona hajafanya juhudi za kutosha..Hasihukumu moja kwa moja..Ajaribu kumtafuta msichana waongee nae..Na inawezekana msichana ana matatizo ndo mana hapatikani..Amejaribu kulifikiria hilo??
Kwenye kuacha hapo ndo ishu mkuuKwanza ashukuru n mpenz na syo mke. Aachane nae tu. Coz some girls wapo kama bendera. Hufuata upepo.
hizi relationship za 5years hizi na haya ndio huwa matokeo yake 5yrs wachunguza nini huko duuuuh lazima haya mambo yatoke tuWakuu habari zenu,
Naombeni ushauri,nina best yangu mmoja alikuwa kwenye mahusiano na binti wa kichaga almost 5 yrs,sasa huyo binti alikuwa mtu wa kubebelea pale alipokuwa anaudhiwa pamoja na kuwa jamaa alikuwa anaapologize,sasa kama miezi miwili imepita binti anamwambia jamaa atamtesa na kumuumiza kama alivyomuumiza,sasa now the girl hapatkani hewani,na anajua jamaa anampenda sana,nimeshindwa xga kumahauri,je amuangaikie au ampotezee,..Ila jamaa anaumua sana
Tumsaidieni huyu kijana.
Avumile mateso anayoyapata. No more soln.Kwenye kuacha hapo ndo ishu mkuu
kwan una haraka gani mkuu... si utulie uandike vizuri ueleweke...!!Wakuu habari zenu,
Naombeni ushauri,nina best yangu mmoja alikuwa kwenye mahusiano na binti wa kichaga almost 5 yrs,sasa huyo binti alikuwa mtu wa kubebelea pale alipokuwa anaudhiwa pamoja na kuwa jamaa alikuwa anaapologize,sasa kama miezi miwili imepita binti anamwambia jamaa atamtesa na kumuumiza kama alivyomuumiza,sasa now the girl hapatkani hewani,na anajua jamaa anampenda sana,nimeshindwa xga kumahauri,je amuangaikie au ampotezee,..Ila jamaa anaumua sana
Tumsaidieni huyu kijana.
kwan una haraka gani mkuu... si utulie uandike vizuri ueleweke...!!
sawa mkuuAkilifanyia kaz hilo hakika atajua tatizo liko wapKwanza, ningeweza kuanzia kwenye historia ya huyo dada kwenye suala la mahusiano. Inawezekana huyo dada aliwahi kuumizwa sana kabla hajakutana na huyo kijana. Sasa yale maumivu yakaweka jeraha ndani ya moyo, jeraha ambalo bado halijapona. Ndiyo maana, likitokea jingine la kumuumiza hata kama ni dogo, yeye anaunganisha na alipotoka, alivyoumizwa, na kuona hakuna haja tena ya kuendelea. Ndiyo maana anafunga na simu kabisa ili asipatikane.
Pili, ningeweza kuangalia huyu dada amekutana na huyu kijana kipindi gani. Kwa mfano: Kama huyu dada aliumizwa kwenye mahusiano yaliyopita, halafu ndani ya kipindi kifupi akaingia kwenye uhusiano wa sasa, basi hapo ndipo shida ilipoanzia.
Watu wengi, wakiumizwa, wanaingia kwenye uhusiano mpya haraka ili kupoza maumivu waliyoyapata walikotoka (rebound relationship), huku wakiamini kupata pumziko. Sasa inapotokea mtu wa namna hiyo akakutana na mambo yale yale yaliyomuumiza hapo kwanza, ni lazima ataanza tabia hiyo kama ya huyo dada.
Tatu, kitendo anachofanya huyo dada, maana yake nini? Huyo dada anatafuta namna ya kujilinda ili asiumie kama alivyoumia hapo kabla. Kwa kawaida, moyo unapoumizwa kwa kiwango cha juu, huwa una tabia ya kujifunga. Sasa, mtu wa namna hii, asipopata msaada, anaweza kufika hatua ya kutopokea upendo tena, kwa sababu ya hofu ya kuumizwa. Kwa hivyo basi, huyu dada anahitaji msaada, kuondolewa hofu iliyopo ndani yake. Kwa sababu, hofu ya kuumizwa ni mbaya kuliko kuumizwa kwenyewe.
Cha kufanya: Kwa kuwa huyu dada amezima simu yake, namshauri huyo kijana asimtafute. Atulie kwanza, ampe muda huyo dada wa kujitafakari. Maadamu, ameshaomba msamaha kwenye jambo ambalo huyu dada hakulipenda, basi ampe muda. Asimtumie message, wala kumpigia simu. Amuache kwanza.
Huyu dada atakapokuwa tayari, ataona umuhimu wa huyu kijana, na ndipo atamtafuta yeye. Sasa ikifika hapo, namshauri huyo kijana azungumze na huyu dada. Amuondolee hofu zozote ambazo huyu dada amezijenga juu ya mahusiano. Ninaamini, baada ya hapo, mambo yao yatakwenda vizuri.