Hujawahi kupenda wewe,pesa haina nguvu kama mapenzi trust meyani nakuambia ukweli namuacha tena bila kupepesa macho nitakuala mapenzi mimi? nitaendesha mapenzi we pesa kwanza nitajifunza kupenda huko huko..
For two weeksHajapatikana hewani kwa muda gani?
Huyo jamaa hajielewi kwan huyo binti ana tv mwilini mpaka ashindwe kumpotezea?
I dont knw if its easy like thatnilishawahi kupenda nikaona ni ujingaHujawahi kupenda wewe,pesa haina nguvu kama mapenzi trust me
Y uliona ujinga??kisa the dude alikuwa hana hela??nilishawahi kupenda nikaona ni ujinga
alikuwa nazo kiasi wananitafuta wenye mapesa zaidi nikamaganda mwisho wa siku nikavutwa na mapesa.. chalii tafuteni pesaY uliona ujinga??kisa the dude alikuwa hana hela??
Mapenzi aisee yanabeba mambo mengi sana,kuna furaha na maumivu
Duuuh,ukilinganisha uliyemuacha na mwente pesa yupi alionesha kukujali ba kukupenda zaidi??alikuwa nazo kiasi wananitafuta wenye mapesa zaidi nikamaganda mwisho wa siku nikavutwa na mapesa.. chalii tafuteni pesa
Hakuna njia nyingine ya kumpata zaidi ya simu??For two weeks
Hpo njia ni kwao au anaposoma tuHakuna njia nyingine ya kumpata zaidi ya simu??
Sasa ameshajaribu kumtafuta kwa njia hizo..Au ndo anaumwa hadi kutembea haweziHpo njia ni kwao au anaposoma tu
![]()
![]()
![]()
I dont knw if its easy like that
He tried kwenda chuo,but hajawhi kumpata,n kwenda kwao its not that easy,jamaa hakujitambulishaSasa ameshajaribu kumtafuta kwa njia hizo..Au ndo anaumwa hadi kutembea hawezi
aliyenipenda zaidi na kujipendekeza ni asiyekuwa nazoDuuuh,ukilinganisha uliyemuacha na mwente pesa yupi alionesha kukujali ba kukupenda zaidi??
Walipendana sana acha tu,Hizi kauli zinawacost sana ndio maana mnabaki kulalamika,miaka mitano anamchezea tuu binti wa watu
Na ndo yeye nadhani ulimpenda zaidi??aliyenipenda zaidi na kujipendekeza ni asiyekuwa nazo
Sijakuelewa mkuuOmba msaada usisingizie rafiki yako