Kwenye settings za hiyo account unayotaka kufuta. Ukiingia kuna option ya kudeactivate account, temporary au permanent.
Ukideactivate temporary, maana yake siku yoyote ukirudi na kulog in, account inarudi.
Ila kama utadeactivate permanently, watakupa mwezi mmoja tu wa kujifkiria, huo mwezi ukiisha wanaifuta mazima. Na haitorudi, labda ufungue mpya.
Hapana. Yani hatoweza kuretreave chochote kutoka kwenye ile account ya zamani. Kwa kifupi ni kama haijawahi kuwepo.Na je akifungua mpya majina na pasward yawe kama hiyo hiyo waliofuta itakuja na picha zake na ma friends zake kama hiyo y mwanzo ?