ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,492
- 2,477
Hiyo ndio number ya menu ya uni ya Voda kwa sasa.Hio haikubal kiongoz
Mimi nimejiung kupitia hiyo number Leo
Hiyo ndio number ya menu ya uni ya Voda kwa sasa.Hio haikubal kiongoz
Wanakusajili vpNi lazima voda wakusajili kwanza ndio utumie hiyo huduma,
Kama haujasajiliwa itakuambia huduma haipatikani.
Huwa wanakuja chuo, otherwise nenda na kitambulisho chako cha chuo vodashop yeyote waeleze watakusajili.Wanakusajili vp
Mpka uwe registered mkuu..Hio haikubal kiongoz
Sawa Bakheresa UmesikikaMkubwa mzima husomi una kipato na bado unategemea kifurushi cha chuo huoni aibuiu