Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
nawaandamane nchi nzima kumtaka huyo jamaa afungue ofisi.ukiwauliza watakuambia tatizo ni ccm.
tatizo ni mzazi wako
nawaandamane nchi nzima kumtaka huyo jamaa afungue ofisi.ukiwauliza watakuambia tatizo ni ccm.
ndie aliefunga ofisi za chadema?wapare husema "wekiherwa kuvhina uti nyumba ifuka" yaani ukishindwa kucheza ngoma unalalamika nyumba ina moshi" yaani almradi visingizio tu.haya bana.tatizo ni mzazi wako
Wewe ngoja utasikia sasa hivi Mnyika anatoa Tamko kuwa Usalama wa Taifa wamefunga ofisi za Chadema Njombe.
Wewe ngoja utasikia sasa hivi Mnyika anatoa Tamko kuwa Usalama wa Taifa wamefunga ofisi za Chadema Njombe.
Mkome kujifariji kuwa mna vyama mikoani, kumbe mmepanda migongo ya wenyewe.Akiondoka tu mwenye chama na chama kina kufa!Na Dr Slaa akirudisha kadi ya CDM chama chenu kinakufa!!!JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI KULIKUWA NA HUYU MLEZI WA CHADEMA BWANA THOMAS SIMON NYIMBO,IMEKUWAJE NA KUAMUA KUFUNGA OFFICE ZOTE ZA CHADEMA ALIZOZIFUNGUA KATIKA JIMBO LA WEST NJOMBE?:violin:

Anatamani awadai na pilau mliyokula siku ya uzinduziJIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI KULIKUWA NA HUYU MLEZI WA CHADEMA BWANA THOMAS SIMON NYIMBO,IMEKUWAJE NA KUAMUA KUFUNGA OFFICE ZOTE ZA CHADEMA ALIZOZIFUNGUA KATIKA JIMBO LA WEST NJOMBE?:violin:
Halafu ndiyo wanasema wanataka kuchukuwa nchi.
Mkome kujifariji kuwa mna vyama mikoani, kumbe mmepanda migongo ya wenyewe.Akiondoka tu mwenye chama na chama kina kufa!Na Dr Slaa akirudisha kadi ya CDM chama chenu kinakufa!!!
Kama mzee Sumari alivyokufa Arumeru CCM imekufa, na ROSTAM alivyong'atuka Igunga CCM imekufa
JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI KULIKUWA NA HUYU MLEZI WA CHADEMA BWANA THOMAS SIMON NYIMBO,IMEKUWAJE NA KUAMUA KUFUNGA OFFICE ZOTE ZA CHADEMA ALIZOZIFUNGUA KATIKA JIMBO LA WEST NJOMBE?:violin:
Inatakiwa akili yako ijiongeze nimejibu hoja ya mshamba mmoja aliyesema CDM inategemea watu na akiondoka na chama kimekufa, kwa hiyo majibu yanahusu hicho na uhalisia wa yaliyotokea huko nilikozungumzia.???????
Hii ina uhusiano gani na kufa kwa CDM Njombe?
Halafu ndiyo wanasema wanataka kuchukuwa nchi.
- Sasa subiri Makamanda wa MFC wakiongozwa na Lema watakavyokwenda kufungua Tawi jipya Zimbabwe.
LE Mutuz