Kufungwa office za CHADEMA West Njombe

Kufungwa office za CHADEMA West Njombe

Ritz,

Hata akienda CCM siku ya kuondoka atafunga office. Tuwe critical watu wabinafsi aina ya huyu hawafai popote

Sasa wewe ulitaka aiachie Chadema nyumba yake bure wakati kashajitoa uanachama?kwa kuwa yeye ni mfanyabiashara Chadema wangefika bei ya kupanga sidhani kama ingeshindikana..


Tatizo ni kuwa Chadema hawa mpango wa kupanga kwa fedha za Chama.
 
Wewe ngoja utasikia sasa hivi Mnyika anatoa Tamko kuwa Usalama wa Taifa wamefunga ofisi za Chadema Njombe.

Wewe na wenzio ndio mnajifanya hamjui kuwa usalama wa Taifa unahusika na kufunga hizo ofisi!!! Kwani sie tunajua toka siku nyingi kuwa Thomas Nyimbo ni mtu wa TISS, tulikuwa tunamuangalia tu nyendo zake na tulijua mwisho wake utakuwa huo!!!
 
Naona ndiyo umeajiriwa kufanya kazi ya CCM maana mda wote uko kwenye mtandao huna kazi nyingine.
kazi nyingine!! si ufisadi kwani ufisadi unahitaji muda ikiwa mkulu ni baba yako si wanaleta tu au wanapeleka tu benki unwapa namba ya akaunti wewe kazi ni mtandaoni tu
 
CCM MAGAMBA, ofisi nyingi ni mali ya watz mlijimiliksha wakat ilitakiwa mziache baada ya kuingia kwny mfumo wa vyama vng,hata viwanja vya michezo vyote mtarudisha tu ngojeni.
 
Inasemekana huyu jamaa alivuta mkwanja toka magamba ili ahujumu kasi ya cdm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom