Kufungua TV station

Kufungua TV station

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
621
Reaction score
434
Wakuu Habari.
Najua huku kuna ma-expert wengi. Nataka kufungua TV station.
1. Nahitaji vifaa gani?
2. Gharama yake ikoje?
3. Kujiunga kwenye makampuni e.g Star times gharama zikoje?
4. Je? Nikitaka Mimi niwe free yaani hata kama mteja hajalipa nionekane utaratibu ukoje?
5. Kurusha kwenye satellite utaratibu ukoje?
6. Makadirio ya gharama yakoje?
Nitashukuru kupata usaidizi.
 
mie ninacho jua nikwamba ni lazima uwe na studio.
uwe na wafanyakazi, usajiliwe kama kampuni na pia upate leseni kule tcra, pia utambulike na tiharahei,.
ni hayo tu... wengine nao watakujuza yaliyo baki
 
Simu yangu imeharibika ningekupa namba ya mtalaam. Mtafute Eng. Albert Dukuduku kwenye social media nadhani yupo. Aliwahi kumiliki CTN akafanyiwa figisu. Ana kampuni yake ya ku tengeneza vituo vya Radio na TV.
 
Wakuu Habari.
Najua huku kuna ma-expert wengi. Nataka kufungua TV station.
1. Nahitaji vifaa gani?
2. Gharama yake ikoje?
3. Kujiunga kwenye makampuni e.g Star times gharama zikoje?
4. Je? Nikitaka Mimi niwe free yaani hata kama mteja hajalipa nionekane utaratibu ukoje?
5. Kurusha kwenye satellite utaratibu ukoje?
6. Makadirio ya gharama yakoje?
Nitashukuru kupata usaidizi.
mdau kashakurahisishia ila nikuombe ukifanikiwa kujibiwa hayo maswali yako hapo juu ikijumuisha na full cost basi urudi na edit huu uzi kwa kuweka majibu ya hayo maswali ili kusaidia na wengine kama alieanzishaga ule uzi wa radio station

Back
Top Bottom