Kufungana Pingu masaa 48 na mpenzi wako

Kufungana Pingu masaa 48 na mpenzi wako

Wengine na voda,tigo na airtel!!!!

Swaumu njema mkuu!!!!!

Ha ha haaaaa, sema kwa vile pingu zenyewe ni wireless hazionekani ndio maana The Boss hazioni.

Ila ikifikia mahali inabidi kufungana pingu ili kufurahia kuwa pamoja, inabidi mkae upya kuangalia kama kuna umuhimu wa kuendelea kuwa pamoja au vipaumbele vimebadilika, ila its good for funny.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom