comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,686
- 17,950
Na nahisi pub ipo karibu na nyumba ya muislam pananukia ftari kwahiyo imempagawisha 😂Mwenetu kashaanza kulewa mapema sana!
kula huko mpaka muda wa kufungua swaumu unafika bado umevimbilwa 😂
Tatizo lenu wala sio kuuliza ili mjue, bali mnakebehi, msidhihaki wengine kwan hata nyiny mna mapunguf mengi ambayo msingependa kudhihakiwa.Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache.
Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia.
Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo?
Kama kweli nyie mabingwa wa kushinda na njaa mkishakula sa1 usiku msile tena mpaka kesho yake sa1 tena.
Ila kuna watu kama machizi, eti ukimwambia unanjaa??! Anasema hapana hii sio njaa ni SWAUMU! eti ukisema njaa ni dhambi.
Ni kweli wenzetu wana madhaifu hususani kupoga marufuku wengine kula kwa kuwa wao wamefunga kwenye baadhi ya maeneo ila Hii bullying sio njema.
Inashangaza sana kwa namna hiyo kushinda njaa ni maamuzi yako ya kushindwa kula alfajiri.kula huko mpaka muda wa kufungua swaumu unafika bado umevimbilwa 😂
Hahahaaha sasa wawaache. Bifu litaendelea baada ya mfungo sio. 😂😂😂Enyi Ndugu zangu makafiri wote tuacheni kobaz tumpuzke mwez ukiisha mje tutukanane vizur kwasasa mnachukua pwent za mezani tu
Kufunga inatakiwa mtu ale mara moja tu. Yaani ndani ya masaa 24 kula wakati wa kufungua jua linapokuwa linazama basi. Haya mambo ya kula usiku kucha wakati wa mfungo ni dalili za uoga wa njaa. Mtu mwenye imani hawezi kuogopa njaa mbele za mungu wakati wa toba.Yani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache.
Mtu unakandamiza nguna alfajiri, unashiba ngaaa! Unalala unaamka bado umeshiba, jioni tena unashindilia.
Yani wakati wa Ramadhani mtu anakula sana zaidi ya mara 3 ya siku za kawaida sasa ndio nini hiyo?
Kama kweli nyie mabingwa wa kushinda na njaa mkishakula sa1 usiku msile tena mpaka kesho yake sa1 tena.
Ila kuna watu kama machizi, eti ukimwambia unanjaa??! Anasema hapana hii sio njaa ni SWAUMU! eti ukisema njaa ni dhambi.
Hii si ya kufunga kula tu, ni pamoja na kuyaacha aliyokataza AllahFunga nzuri ni ile ya kufunga kufanya maovu si hii ya kufunga kula.
Jalibu na wewe hata kwa siku mbili tu,uone mziki wakeYani mtu unakula usiku kucha kama mchwa, kula masaa mengi kukaa na njaa masaa machache.