Kwanza kabisa, siongelei uchaguzi uliopita au wabunge waliomaliza muda wao, suala la majimbo mengi yako chini ya upinzani, huko mmeshafanya uchaguzi wa wabunge? SIDHANI, hivyo hao 'wabunge' wengi wa upinzani kwa sasa hawana tija.
pili nimesema sina uhakika na wabunge, ila kwa uchaguzi unaokuja, Magufuli kabena kanda ya ziwa, nina macho yenye ya kuona vizuri, masikio ya kusikia vizuri na ubongo wenye afya wa kutafakari, kanda ya ziwa Magufuli atashinda kwa kishindo, sina uhakika na upande wa ubunge na udiwani.