Kufunga kampeni: UKAWA-Jangwani, CCM- Mwanza CCM Kirumba

Kufunga kampeni: UKAWA-Jangwani, CCM- Mwanza CCM Kirumba

Mwanza ni ngome ya chadema.....ni vizuri ukawa ikawa viwanja hivyo au vile vya furahisha siku moja au mbili kabla. Najua mwanza ukawa haijafika lasmi.. .tunawapenda watu wa mwanza wanajitambua....hivyo siku moja ya usaniii wa ccm haiwezi kuwabadilisha.

Mwisho: ni vizuri kutafuta viwanja vikubwa kwa kuimalisha usalama ktk viwanja hivyo. Tumeanza na Mungu tutamaliza na Mungu. Hatutaki yaliyotokea Madina....

Tutashinda....lengo letu ni kushinda. . Lubuva aache vijana walinde kura zao mita 100 kutoka vituoni . Awaonye polisi kutokutumia nguvu na jaribu lolote la kulinda wakurugenzi kutangaza matokeo kinyume na ujumla wa kura vituoni.

Hatudanganyiki na CCM
 
Tumeanza na Mungu tutamaliza na Mungu. Hatutaki yaliyotokea Madina....
Tutashinda

Mungu yupi mliyeanza naye na mtakayemaliza naye?

LOWASA.jpg
 
Mwanza ipi unayoongelea wewe? Mwanza hii ambayo ni sehemu ya KANDA YA ZIWA? Kanda ya ziwa ni ya Magufuli, hii haina ubishi, sijui upande wa wabunge, ila urais ukawa wamefanya kitu sahihi kupunguza gharama ambazo ingekuwa ni sawa na kutupa pesa chooni.
Kanda ya ziwa ni ya Mahufuli. Dar, ni 50-50, kanda ya kati ni sisiemu, Magharibi kila mtu ana nafasi, kusini 50-50, Zenji Pemba ni CUF Unguja ni sisiemu, kaskazini labda ndo nhome ya chadema, ila pande za Tanga na kusini Mashariki huko asilimia kubwa ni sisiemu.
Kanda ipi ya ziwa ni ya Magufuli, huna habari zaidi ya nusu ya majimbo ya upinzani yanatoka kanda ya ziwa.
 
Yap hongera sana Magufuri, iko poa sans
 
Poa Wenje Atafungia Mbugani,Kiwia pale Furahisha Jirani Na Kirumba Walipo Ccm,sipati Picha
 
Kanda ipi ya ziwa ni ya Magufuli, huna habari zaidi ya nusu ya majimbo ya upinzani yanatoka kanda ya ziwa.

Kwanza kabisa, siongelei uchaguzi uliopita au wabunge waliomaliza muda wao, suala la majimbo mengi yako chini ya upinzani, huko mmeshafanya uchaguzi wa wabunge? SIDHANI, hivyo hao 'wabunge' wengi wa upinzani kwa sasa hawana tija.
pili nimesema sina uhakika na wabunge, ila kwa uchaguzi unaokuja, Magufuli kabena kanda ya ziwa, nina macho yenye ya kuona vizuri, masikio ya kusikia vizuri na ubongo wenye afya wa kutafakari, kanda ya ziwa Magufuli atashinda kwa kishindo, sina uhakika na upande wa ubunge na udiwani.
 
YEHODAYA.. .uzuri wa Mungu wetu ni kutoa nafasi ya kutubu......kuyachukia mabaya.....

Kwa nini ccm hamtaki kuchukia umaskini? Ufisadi?. ...Tubuni ili mkubalike....aombaye msamaha usamehewa......

Badara yake mnachukia haki, hamtaki katiba inayotenda haki kizazi hiki na kijacho....ni walaghai na waliojawa kiburi cha madaraka na peasa za escrow... Tukutane Oct 25. Bahati nzuri tunatumia kura kuwaondoa.. Nimatumaini yetu mnakubaliana nasi kuwa tumechagua njia njema(kura). Mkitaka kinyume chake iba kura na mtangaze matokeo kinyume na wingi wa kura za aliyechaguliwa.
 
Lowassa mwenyewe haongeagi, afungie kampeni zake popote tu.

Tutaenda kwenye website.
 
Nawapongeza sana viongozi wa UKAWA,wametumia intelijensia ya hali ya juu katika kupanga sehemu ya kufungia kampeni.
Endapo wangefungia Arusha lingekuwa kosa kubwa sana maana ile dhana ya ukabila ingepata mashiko.
Wale wenzetu sijui kwahili watajitetea vipi....
Sisi UKAWA tuna ukabila,wao wanaofungia kampeni Mwanza wanajitoa vipi katika ukabila?
#KataaUkabila
#TanzaniaNiYetuSote
#ChaguaUKAWA

Hata ile hotuba ya Mzee lowassa kule kanisani walijitahidi sana kuipangua japo ukweli ulikua waz
 
Hata ile hotuba ya Mzee lowassa kule kanisani walijitahidi sana kuipangua japo ukweli ulikua waz

Kwani kuna ubaya gani mtu kuomba kuombewa ashinde?
Jana msikitini wakati wa swala ya L Jumaa sheikh alisema sio vibaya mtu kuomba kuombewa,tena kuna waislam wenzetu waliokuwa wanagombea udiwani nao waliomba tuwaombee vilevile.
 
Chadema wawahi kabisa coverage ya television kabka hawa jamaa hawajalipia zote kwa siku tatu mfululizo.

Maccm wanamaliza kampeni tarehe 23/10 wakati CHADEMA wanafunga tarehe 24/10. Hiyo ni kama ratiba itakuwa kama ilivyokuwa
 
Sasa fanya hivi,kura yako moja sio issue....mtafutie 10 za uhakika.
Hii itakupoza machungu na kukufariji.

mkuu lakini pia tuchunguze kwa makini ni wangapi hatutapiga kura kutokana na fyekeo hili la NEC? kumbuka halitugusi wanavyuo tu.
 
Sasa fanya hivi,kura yako moja sio issue....mtafutie 10 za uhakika.
Hii itakupoza machungu na kukufariji.

Nimetafuta kura 10, kila mmoja kati ya 10, ametafuta kura 10, kila mwenye 10 naye tayari kapata kura 10. Huu ni mtindo wa CCM IMECHOKA TUITOE
 
Back
Top Bottom