Kufunga kampeni: UKAWA-Jangwani, CCM- Mwanza CCM Kirumba

Kufunga kampeni: UKAWA-Jangwani, CCM- Mwanza CCM Kirumba

Mimi na mke wangu toa kwenye mil. 6 mie naipa Ukawa tubadilike tu maana hakuna namna CCM imeoza

Kwa hiyo hautapga Kura kama yako na mkeo waitoe kwenye hiyo mil 6.? Mtu kasema Kanda za ya ziwa kuna Kura mil 6 we unasema ya kwako waitoe nikisema we mpumbavu au Lofa nakosea..?
 
Naskia siku hiyo Kirumba bia zitagawiwa bure lakini ukinywa kesho huamki siku nzima
 
Haina shida siku hiyo moja, haitabadili chochote, kila mtu atakuamekwisha amua nani atampigia kura, hiyo ni siku ya kuhitimisha tu. Lakini pia usisahau Dar pekee ina kura zaidi ya 2.5m!

zaidi ya 2.83
 
Oyoooooo!Jamani nimefurahije?
Can't wait kabisa kwenda Jangwani kwa mara nyingine,ile mara ya kwanza nilichelewa nilienda saa 7,this time nitaenda saa 4 asubuhi maana patakuwa hapatoshi!
Wanamabadiliko tukutane Jangwani October 24.

Nifer Huku Mtwara watu walienda Saa moja na nusu wakakuta uwanja umejaa.....sasa wew Dar uende Saa 4 si utasubiri Magomeni....!!???
 
Afadhali waende kufungia huko Mwanza wampunguzie Magufuli safari ya kurudi Chato.
 
Nifer Huku Mtwara watu walienda Saa moja na nusu wakakuta uwanja umejaa.....sasa wew Dar uende Saa 4 si utasubiri Magomeni....!!???

Nitajipenyeza hivyohivyo hadi nipate nafasi mkuu.
 
Umeme utakatwa Dar NZima. Kama ambayo wanataka kuzima data siku 3 mfululizo. Pia CCM watalipia TV zote hadi BBC ili Ukawa usipate coverage....huo ni utabiri wangu
 
Nitajipenyeza hivyohivyo hadi nipate nafasi mkuu.

Mwaka huu wanajichanganya sana Nifah hawa watu wanawabeba wananchi kutoka Vijijini huko wanawaleta sehemu za mikutano afu wanawatelekeza....bhas dooooooh design kam wanawaongezea Hasira vile.....
 
Mwaka huu wanajichanganya sana Nifah hawa watu wanawabeba wananchi kutoka Vijijini huko wanawaleta sehemu za mikutano afu wanawatelekeza....bhas dooooooh design kam wanawaongezea Hasira vile.....

Vita vya panzi furaha kwa UKAWA...
Bado mgao wa umeme,mwaka huu CCM haichomoki.
 
Maamuzi ya kuinyoa CCM yashafanyika siku nyingi SANA. Hata ccm wakodi TV zote,radio zote ,viwanja vyote haitabadilisha kitu...ni kujilisha upepo tu. Hawawezi kukodi kura zetu,
Hawana jipya.
 
Oyoooooo!Jamani nimefurahije?
Can't wait kabisa kwenda Jangwani kwa mara nyingine,ile mara ya kwanza nilichelewa nilienda saa 7,this time nitaenda saa 4 asubuhi maana patakuwa hapatoshi!
Wanamabadiliko tukutane Jangwani October 24.

Teh Teh Habari yako nifah...
 
Last edited by a moderator:
Mwanza ipi unayoongelea wewe? Mwanza hii ambayo ni sehemu ya KANDA YA ZIWA? Kanda ya ziwa ni ya Magufuli, hii haina ubishi, sijui upande wa wabunge, ila urais ukawa wamefanya kitu sahihi kupunguza gharama ambazo ingekuwa ni sawa na kutupa pesa chooni.
Kanda ya ziwa ni ya Mahufuli. Dar, ni 50-50, kanda ya kati ni sisiemu, Magharibi kila mtu ana nafasi, kusini 50-50, Zenji Pemba ni CUF Unguja ni sisiemu, kaskazini labda ndo nhome ya chadema, ila pande za Tanga na kusini Mashariki huko asilimia kubwa ni sisiemu.

Kaskazini sio ngome ya ukawa baada ya ujio wa mafisadi
 
Hapo vepee?

Ukisikia tena mwandishi wao katimuliwa kwenye msafara wala usijiulize, ni zaidi ya mahaba.

Soma ratiba hiyo kisha uje ulete post yako na sio mahaba na tetesi
 

Attachments

  • 1443856930576.jpg
    1443856930576.jpg
    129.2 KB · Views: 203
  • 1443856949825.jpg
    1443856949825.jpg
    53.6 KB · Views: 191
Viwanja viwili vinategemea kuwaka moto siku ya mwisho wa kampeni trh 24.

Mgombea wa UKAWA mh Edward Lowassa atakuwa Dar es salaam kwenye viwanja vya Jangwani wakati mgombea wa CCM mh Pombe Magufuli atakuwa jijini Mwanza kwenye uwanja wa CCM Kirumba imejulikana.

Katika rekodi zangu hii ni mara ya kwanza kwa CCM kufunga kampeni zake nje ya jiji la Dar es salaam.

Na kuhakikishia Kuwa CCM wamechanga karata vyema..nyie kamalizieni dar lakini kamwe hampati wabunge zaidi ya wawili na kura zenu za Urais hazitozidi 60,000
 
Ndio sasa ujue huwezi kumtumia Gwajima kama strategist wako. Hizo milioni 3 za Dar ni za kugawana. Ila za Arusha, Moshi na Manyara ni za uhakika. Kuonesha yupo pamoja nao angefungia kampeni Sheikh Amri Abeid.

Yupo pamoja na nani? Rais Lowassa atakuwa Rais wa watanzania wote. Acha habari zako za ukanda
 
Namuomba rais wa mwanza wenje naye afunge kampeni tarehe 24 uwanja wa mirongo
 
Kwanza kabisa, siongelei uchaguzi uliopita au wabunge waliomaliza muda wao, suala la majimbo mengi yako chini ya upinzani, huko mmeshafanya uchaguzi wa wabunge? SIDHANI, hivyo hao 'wabunge' wengi wa upinzani kwa sasa hawana tija.
pili nimesema sina uhakika na wabunge, ila kwa uchaguzi unaokuja, Magufuli kabena kanda ya ziwa, nina macho yenye ya kuona vizuri, masikio ya kusikia vizuri na ubongo wenye afya wa kutafakari, kanda ya ziwa Magufuli atashinda kwa kishindo, sina uhakika na upande wa ubunge na udiwani.

Mwanza ipi? labda kama kuna ile ambayo wasukuma tunaiita MWANZA YA MADASO.Hii niijuayo Mimi ya Nyamagana na Ilemela hiyo ni ya Lowasa tu.
 
Back
Top Bottom