Kufumba macho unapo busu lazima?

It happens automatically... Especially when you truly have feelings for the person you are kissing!
 
mkuu kiafrika kama hatufuatilii vile but wezentu weupe kama hujafumba macho wakati wa kisses means u don't feel anything about him/her
 
ah ah ah ag, hivi humu ndani watu mnakaaga mnafikiriaga nn,mtoa mada utakuwa upo kwenye research nn,ilikuwaje hadi ukawaza hivi,nyc idea
 
kajaribu kumbusu lichangu lolote bayabaya chafuchafu tuone kama utafumba mambo!akina mama kajaribuni kumbusu kichaa yeyote kwa arusha kuna kichaa mmoja mchafuu anasimamaga kituoni huku kashika dudu lake,kajaribuni kumbusu kama macho yatafumbika!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom