Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Toa sababu kuntu kutetea jibu lako .
Toa sababu kuntu kutetea jibu lako .
<br />Bora ufumanie kwa kuwa wewe ndo utakuwa na maamuzi ya kuamua ila kufumaniwa ni hatari kwa kuwa anaekufumania ndo anakuwa incharge
<br />Usiombee lolote kati ya hayo mawili maana uwezekano wa kuua au kuuwawa ni nje nje
<br />Bora kufumania kwani nikimfumania mke wangu nitampa talaka hakafu yule mshikaji nitamuua kwa kumgecha (choma kisu)!