kufuli imegeuzwa

jamaa yangu kaniomba ushauri.
anadai jana asubuhi kamwona mkewe akivaa
na kila kitu kilikuwa salama, lakini jioni mkewe
aliporudi wakati anabadilisha nguo akaona kwamba
mkewe amegeuza chupi yake nje ndani.

sasa anajiuliza imekuwaje amkewe arudi amegeuza
kufuli? au ndio jamaa wameishamsaidia!

nimemwambia ngoja nifikirie jibu. jee waungwana
mnasemaje?
Ndio maana nashauri nkuoa karibia na uzeeni hizi presha zitakuepuka sana lakini kuoa katika hizi age zetu za 27 na 28 na kukutana na mkeo amegeuza chupi kudadadeki presha inapanda hapo halafu ukivuta unamuacha mshikaji ndio anakula full time sasa without contract kama kabla wakati ukiwa hai. Wanawake watu wa ajabu sana wanadanganywa hata kwa peremende hata kama wana miaka 30

Fidel80 i real sapoti your 2012 marriage project Sir
 
Kwanini asiingize vidole akapima kama ma Gyno..wanavyotest mimba,akikuta mambo ambayo si ya kawaida,ahamie kwenye TIGO!full stop.
 
Huyo jamaa naye acheze hivyo hivyo ila kwa kuigiza. Asubuhi avae vizuri wazi wazi mbele ya mkewe , halafu kokote atakapoenda siku hiyo, ageuze kufuli lake makusudi. Jioni avue mbele ya mkewe huku akijifanya hajangundua kama amegeuza. Then asikie comments za mkewe, maybe atapata picha fulani !!!

mmh ! Sikubaliani na wazo lako mkuu. Hii inaweza kusambaratisha ndoa moja kwa moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom