Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
Alyepaswa kukamatwa alikuwa ni mkuu wa wilaya aliyehendesha mkutano batili wakati wa uchaguzi na pia kwa kitendo chake cha kukutwa na fomu za maombi ya usimamizi wa uchaguzi wakati yeye hausiki. Madai mengine yote yaliyobaki ni hasira za kuhumbuliwa na wananchi.
Mtu alyepigwa na kukatiwa cheni aombi kwenda kwenye mkutano kuonana na slaa ili amwombe msamaha bali anakwenda hospitalini kutibiwa na madai mengine yanafuata baadaye.
Tatizo kubwa kwa hawa viongozi wetu sijui ni ujinga au ni kufuata maagizo toka juuu au ni kutaka kujionyesha nae ni mtendaji mzuri na kada namba mmoja wa CCM huu ni ujinga kwani hapo Mkuu wa wilaya yeye ni anawaongoza wananchi wote hapo Igunga akumbuke katika siasa hizi esp wakati wa uchaguzi hatakiwi kujionyesha kwa wapiganaji both side CCM au CDM yeye anatakiwa kuwa neutral hapo.
Chanzo cha vurugu ni yeye kwanini aende njia za panya wakati anajua cheo chake kina mlimiti mambo fulani? yeye ndi mwanzisah vurugu katika hizo chaguzi hapo amecheza foul na nihalali yake kupata kibano, CCM kama munajiamini kuwa mtachukuwa jimbo mbona muna haha sana? Mpaka kutumia Mkuu wa wilaya hii ni dhahili hamko vyema katika hilo jimbo hili liko wazi kwa mtu yeyote makini anatambua hilo haitaji kufundishwa