Kufuatia kibano cha DC (Igunga): Wabunge wa CHADEMA wakamatwa

Alyepaswa kukamatwa alikuwa ni mkuu wa wilaya aliyehendesha mkutano batili wakati wa uchaguzi na pia kwa kitendo chake cha kukutwa na fomu za maombi ya usimamizi wa uchaguzi wakati yeye hausiki. Madai mengine yote yaliyobaki ni hasira za kuhumbuliwa na wananchi.

Mtu alyepigwa na kukatiwa cheni aombi kwenda kwenye mkutano kuonana na slaa ili amwombe msamaha bali anakwenda hospitalini kutibiwa na madai mengine yanafuata baadaye.

Tatizo kubwa kwa hawa viongozi wetu sijui ni ujinga au ni kufuata maagizo toka juuu au ni kutaka kujionyesha nae ni mtendaji mzuri na kada namba mmoja wa CCM huu ni ujinga kwani hapo Mkuu wa wilaya yeye ni anawaongoza wananchi wote hapo Igunga akumbuke katika siasa hizi esp wakati wa uchaguzi hatakiwi kujionyesha kwa wapiganaji both side CCM au CDM yeye anatakiwa kuwa neutral hapo.

Chanzo cha vurugu ni yeye kwanini aende njia za panya wakati anajua cheo chake kina mlimiti mambo fulani? yeye ndi mwanzisah vurugu katika hizo chaguzi hapo amecheza foul na nihalali yake kupata kibano, CCM kama munajiamini kuwa mtachukuwa jimbo mbona muna haha sana? Mpaka kutumia Mkuu wa wilaya hii ni dhahili hamko vyema katika hilo jimbo hili liko wazi kwa mtu yeyote makini anatambua hilo haitaji kufundishwa
 
Nijuavyo mimi endapo DC anasema kuwa ameibiwa simu, iwe bahati kama hakuwahi kuitumia baada ya tukio. |Endapo alikuwa ameitumia baada ya tukio, endapo CDM wataenda kitengo cha cyber crime huyo mama atapata aibu ya mwaka!
 
Huyo DC anaweza kuiambia jamii lini ilikuwa mara yake ya mwisho kufanya mkutano kama huo? Je ana minutes za kikao kilichopita!? Siku ya kikao agenda zilikuwa zipi!?...
 
Wewe unasema amedharirishwa mteule wa raisi! Muulize raisi mwenyewe kilichomkuta Mbeya!
Tuwe wakweli chadema ni wavunjaji wa sheria, hapa wamefanya kosa kubwa kuchukua sheria mkononi na kumdharirisha mteule wa rais ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani
 
07igu.jpg


Duu, jimama anatia huruma!

Kweli huyu mama anatia huruma,lakini ccm wako rafu sana especially wakati wa uchaguzi naona chadema wameamua nao watumie mtindo huo huo.Kweli dawa ya moto ni moto.
 
Wazee wa siasa uchwara wanazidi kutuletea sarakasi zao za mbinuko mwisho wa siku kitaeleweka wana igunga sio wajinga tena
 
Nilikuwa na rejea sheria, Polisi waangalie sana wasijaribu kuwa sehemu ya lawama na kuchochoea vurugu kwa kuminya haki, sauti ya wengi hiyo. Ngoja tusubiri wanasheria wa CDM, maana kufungua shambulio la aibu wakati alikuwa amekaa kwenye kiti katulia tuli! Aibu kaipata kwa kukeuka maadili ya kazi.
 
Sheria za Nchi zinazolinda kundi moja huzaa uhaini na kupinduliwa kwa serikali iliyoko madarakani. Sheria kama hizi ndizo zilizomfanya Hosni mubarak, Gaddaf, Asad, na Mugabe nk kujikuta wakipambana na wananchi wao. Huwezi kutumia sheria upande mmoja ukiamini wengine wote ni wajinga. Paka ni mnyama mpole sana ila ukimfungia ndani ukamchapa bakora akikosa pakutokea anakuwa chui.

Nawasihi sana ma OCD, Rpc, Igp ma dc na wawakuu wa miko na raisi wa JMT kuwa amani ni tuzo tu inaweza kutoweka na ikitoweka wao ndio wahanga namba moja, wasidhani Tanzania ni kisiwa kisicho na watu wenye kuona, kusikia na kuelewa.

Leo tunashuhudia watoto na wafuasi wa maraisi mashuhuri Afrika wakiuwawa na kufikishwa mahakamani huku maraisi ambao ni baba zao wakiwa kwenye cage au kujificha kama kuku kwenye vichanja. Sitaki wala soombei haya yatokee Tanzania ila watawala wanayaombea na kuyazalimisha kana kwamba wao wanajiona ni Miungu.

Najua wamejizatiti sana na kuwaweka wanajeshi wa vyeo vya juu, polisi, usalama wa taifa ndugu zao ama rafiki zao au maswahiba wao. Ila wakumbuke Miaka 30 ya hosni Mubarak ilmtosha kumweka kila ndugu yake popte, miaka 40 ya Gaddaf ilimtosha kumfanya mkewe, mtoto, jamaa na ndugu yeyote na kuwaweka popote ili kulinda himaya, ila ikumbukwe nchi ni watu na wana pata uchungu wa mateso. Siku mateso haya yatakapo sikilika kwa kila raia haitakuwa nzuri tena, kinachotokea sasa ni kusambaa kwa uchungu na kila mmoja kuupata kwa wakati wake, siku inakuja kila mmoja ataona inatosha afadhali ya kufa kuliko kuishi kwenye mateso haya.

Inawezekana leo watalawa wakaona mimi ni juha au hayawani ila iko siku watatamani haya maneno wangeyasikia kwani hakuta kuwa na labda ninejua. Huwezi kutumia nguvu kwa watu walioamua kutumia demokrasia kuishi, waachiene hiyo demokrasia waishi nayo. Weusi wa USA walikuwa ni wachache sana ukilinganisha na wazungu, ila kwa mateso ya wazungu walisema imetosha, waliamua kuua kila mzungu kwenye upeo wao.

Wazungu walipo jua kuwa sio salama tena waliamua kuwapa uswa mbele ya sheria. Tukumbuke wazungu hawa walikuwa na silaha zote za kisasa na wingi wa watu huku wakiwa na polisi na jeshi lilofunzwa kisasa kuliko weusi hawa. Ila walijua kuwa wakati umefika hawawezi tena kupigana na roho zilizokataa mateso zinazoishi kati yao.

CCM na serikali yake kubalini kuwa wananchi wameamua kujitawala kwa kuchagua wanaowataka, kulazimisha ni kutuletea maisha magumu sote. Masikini hana cha kupoteza anaweza kupigana miaka hata kumi.

Matukio ya akina Nchemba na wenzeka yanadhihira tosha kuwa maadili ni adimu sana ndani ya serikali ya CCM. Kutuhumiwa tu kudhalilisha utu wa mwanadamu inatosha kujiuzulu kama RA. Mwigula Nchemba ajiuzulu nyadhifa zake zote.

Mwisho wananchi tukatae huu ukoni mambolea wa weusi wenzetu, hata ikitupasa kutoa sadaka kubwa.
 
Hili jimama lilitakiwa lipewe kichapo cha mwezi,manake likuwa lipanga dhambi ndio maana halikutaka ulinzi.
 
Huyu mama alitoka asubuhi bila hata kujitengeneza kama ilivyokawaida ya wanawake. Inaonyesha hakuwa ameenda kwenye kazi za kiofisi maana yuko rafu kama katoka shabani tu na hii ni dhahiri kuwa alikuwa kwenye mambo yake tu ya kichama!
 
jaman wa JF tuache ushabiki usiokua na masla kwani hakun cha maana mnachoshabikia kwa madam DC kupewa mshikemshike na wana CDM.
haipendezi hata kama alikosea si kurasheria ambazo viongozi wa CDM wangezizingatia kumuadhibu huyo DC,
Chadema wamekosea that is facts and facts is not enemy let us accept that.
 
..............Upuuzi huu wa CCM ndio unatupelekea CDM wakati mwingine kuchukua maamuzi magumu,kwa vyovyote vile CCM ndio chanzo cha haya yote.
 
..............Upuuzi huu wa CCM ndio unatupelekea CDM wakati mwingine kuchukua maamuzi magumu,kwa vyovyote vile CCM ndio chanzo cha haya yote.

Angalia usitoe mapofu kutetea wahalifu waliojificha kwenye gamba la siasa hasa hao machokaraa wa cdm...wanatakiwa wakajibu tuhuma lupango..ndio mahala pao period.
 
Back
Top Bottom