Acha ushabikiSawa wazo kama hill ni lamtu mjinga shule zitafunguliwa mwaka kesho mwezi wa 3.
Nimesema kama ikirejea, basi shule na vyuo zifunguliwe.Wametangaza lini kuwa ligi zinarejea?
Zifunguliwe mwaka kesho wakati hatujui kinachoendelea kuhusu coronasawa wazo kama hill nilamtu mjinga shule zitafunguliwa mwaka kesho mwezi wa 3
Wewe kama huwezi kuwaamlisha wanao au wadogo zako wakae ndani na wanaendelea kuzulula mtaani shauri yako.Hata wewe pia una akili mfu ,maana ungeona maisha ya mitaani huku ,wala usingeandika hivi unavyoandika hapa
Maana hao watoto ambao wameambiwa wakae nyumbani ili kujikinga na korona wapo busy kuzurura tu
Labda wewe utakua unaishi mitaa ya kishua
KumbeWewe kama huwezi kuwaamlisha wanao au wadogo zako wakae ndani na wanaendelea kuzulula mtaani shauri yako.
Huenda uliwalea hivyo, chakufanya komaa na wanao/wadogo zako kuwaomba wazizulule wakae ndani kama watalaamu wa afya walivyoelekeza...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mkuu wewe unapendekeza mini kifanyike?Litakuwa kosa kubwa Sana, endapo tutaruhusu wanafunzi kurudi shuleni.
Napendekeza wasubiri hivyo hivyo, si unaona tena hata upimaji umesitishwa.Kwa hiyo mkuu wewe unapendekeza mini kifanyike?