Kufilisika kisiasa kwingine kunatisha!

Kufilisika kisiasa kwingine kunatisha!

Nape naomba unijuze; Je Kinana ni kaka, baba au babu?
 
Nape ameshindwa kurithi busara za baba yake......Ungekuwa kama baba yako ungeheshimiwa sana ila kwa sasa naona unapuliza tu vuvuzela kila kukicha....ama kweli moto huzaa majivu

Kwani ameshamjua baba yake au unamanisha yule wa mbeya.
 
Nape ameshindwa kurithi busara za baba yake......Ungekuwa kama baba yako ungeheshimiwa sana ila kwa sasa naona unapuliza tu vuvuzela kila kukicha....ama kweli moto huzaa majivu
Kwani kasamtambu? ni Prof ama Mjeda? ok mbona kichwa cha habari na yaliyomo ni tofauti?
 
Hakuna maradhi yasiyo na dalili.,ni wazi kuwa chadema wanao ugonjwa mkubwa ambao hivi karibuni utawasababishia kifo cha ghafla. Ukitaka kujua kuwa hawa jamaa wameanza kupoteza touch na jamii ni kwenda mrama kwa propaganda forums zao ikiongozwa na gazeti la Tanzania Daima, JF and the alike. Hii ni kwa kuandika habari zenye mlengwa mmoja bila kubadilika hivyo kuwachosha wasomaji.

Lakini ubutu huu wa kutobadilika na kutofikiri kwa kina juu ya mbinu mpya na zenye mshiko zaidi kwa jamii ni dalili tosha ya ugonjwa mbaya wa kutofikiri sawasawa uliowafika chadema. Utumiaji wa mikakati na mbinu za kijasusi za kudhuru wanaCCM na kuwatishia maisha kila wanaopingana na falsafa na mitazamo ya chadomo ni mbinu zinazokichafua chama hiko kichanga.

Lakini baya zaidi ni hii tabia iliyozuka na kukua kwa kasi ya kumuabudu babu na kufanya kila analoliamrisha ndani ya chama hicho. Babu amekuwa na utaratibu wa kujitengenezea kundi ambalo limeleta mmomonyoko ndani ya chama hiko na kuhatarisha hata uhai wa chama hicho.

vijana wa chadomo waanze kujifunza kuhoji n kujisahili binafsi juu ya mitazamo ya chama na mitazamo yao wao juu ya chama. Hamuwezi kujua chochote iwapo hamtahoji na kudadisi juu ya mwenendo wa babu na chama chenu cha kigaidi.
 
Kwa hoja hizi wewe Nape Nnauye ndiye katibu Mwenezi wa chama kinachoongoza nchi kweli!!!!!!!that's why Tanzania inazidi kuporomoka kwani hakuna wa kumsaidia mwenzake ktk hii chama cha mapinduzi'

Nadhani la muhimu ulilotakiwa kuliongelea ni kwa nini Kinana alikwepa kwenda ITV kama ni msafi na anajiamini kama katibu wa chama kisafi ???!!!! badala kulishambulia T.daima lililoanika udhaifu wa katibu wenu wa kuamua kukacha mdahalo kitu ambacho hamkutaka kijulikane bila shaka!!!

Na bila shaka ilikuuma baada ya Dr.Slaa kukataa kuandaa kipindi na wewe kuwa wewe siyo hadhi yake, ni kweli Nape wewe siyo hadhi hata ya katibu mwenezi wa CHADEMA J.J Mnyika, sembuse Dr Slaa!!!!!
 
Lakini ninachotaka kusema hapa ni propaganda kama za Gazeti la Chadema leo ni dalili za kufilisika sana kisiasa kiasi kwamba hhata jambo dogo sana linageuzwa kuwa jambo kubwa na linalodhaniwa linaweza kutumika kipropaganda.

Kama umetambua kuwa ni jambo dogo, mbona umekuja kulisemea huku na usilipuuze kama hao uliowaita sisimizi kuona maji ya kifuu ni kama bahari?
 
WASWAHILI WALISEMA kwa sisimizi hata kifuu cha nazi kwake ni sawa na bahari!Pengine tungemsaidia sana mwajiri kwa kumfanyia utafiti kwanini ofisi za wilayani na mikoani za taasisi anayoiongoza zinafungwa kwa kasi ya ajabu.

================================
Habari kamili toka Tanzania Daima
================================

Na kwa MAGAMBA ni vipi mtoke kwenye mkutano wa kujenga chama Morogoro na uchaguzi ufanyike maeneo hayo hayo na bado MAGAMBA wapigwe chini? na maeneo mengine kutumia POLICCM kumtangaza Mwenyekiti wa Kijiji?

hata TANU ilipo anzisha harakati za Uhuru haikuwa na Resource za kutosha na kupelekea ofisi nyingi kwa wakati huo kufungwa. Vile vile na CHADEMA ipo kwa ajili ya kuleta Uhuru wa kweli kwa waTanzania, haina rasilimali za kutosha ukizingatia zote mmezi hodhi.

Pamoja na yote bado inaendelea kutwanga kila kona licha ya MAGAMBA kukaba mlinda mlango wakati wa Penalti.
 
Toka jana nimekuwa nikisoma kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu hoja ya " NAPE, KINANA NA DR. SLAA" juu ya kipindi kilichodaiwa kuandaliwa na ITV. Leo kwa uzito mkubwa stori hiyo imebebwa na gazeti la Chadema la TanzaniaDaima. Kwa gazeti hili ni stori inayouza gazeti lao leo.

Niseme toka jana niliposoma propaganda ya Tandaleone nilishangaa lakini nikajipa muda kujua msingi wa propaganda ile. Baada ya muda nikaona majibu ya Babu Dr. Slaa nikayashangaa pia japo si sana, bado niajipa muda. Jioni nikapigiwa simu na mwandishi wa TanzaniaDaima kuulizwa juu ya hiyo stori, nikasema wameanza sasa kuja hadharani na makusudi yao naanza kuyafahamu.

Mkuu Nape kwa hiyo taarifa ile ya TandaleOne ilikuwa ya uongo ama? Maana nimesoma sijaelewa ni kweli ulienda ITV kufanya mdaharo au malumbano ya hoja na Dr.Slaa au wanakuonea?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna maradhi yasiyo na dalili.,ni wazi kuwa chadema wanao ugonjwa mkubwa ambao hivi karibuni utawasababishia kifo cha ghafla. Ukitaka kujua kuwa hawa jamaa wameanza kupoteza touch na jamii ni kwenda mrama kwa propaganda forums zao ikiongozwa na gazeti la Tanzania Daima, JF and the alike. Hii ni kwa kuandika habari zenye mlengwa mmoja bila kubadilika hivyo kuwachosha wasomaji.

Lakini ubutu huu wa kutobadilika na kutofikiri kwa kina juu ya mbinu mpya na zenye mshiko zaidi kwa jamii ni dalili tosha ya ugonjwa mbaya wa kutofikiri sawasawa uliowafika chadema. Utumiaji wa mikakati na mbinu za kijasusi za kudhuru wanaCCM na kuwatishia maisha kila wanaopingana na falsafa na mitazamo ya chadomo ni mbinu zinazokichafua chama hiko kichanga.

Lakini baya zaidi ni hii tabia iliyozuka na kukua kwa kasi ya kumuabudu babu na kufanya kila analoliamrisha ndani ya chama hicho. Babu amekuwa na utaratibu wa kujitengenezea kundi ambalo limeleta mmomonyoko ndani ya chama hiko na kuhatarisha hata uhai wa chama hicho.

vijana wa chadomo waanze kujifunza kuhoji n kujisahili binafsi juu ya mitazamo ya chama na mitazamo yao wao juu ya chama. Hamuwezi kujua chochote iwapo hamtahoji na kudadisi juu ya mwenendo wa babu na chama chenu cha kigaidi.

Hata Boss wako anakushangaa hapa chini

Niseme toka jana niliposoma propaganda ya Tandaleone nilishangaa

si wanamapinduzi tukajua kijana Tandale kwa tumbo umemtuma kumbe alijipa majukumu yako.
 
Akizungumza na gazeti hili kuhusu suala hilo, Nape alisema alikwenda ITV badala ya Kinana, kuangalia maudhui ya kipindi hicho ili aweze kushauriana na Kinana na kuamua kuja au la.
Kipindi chenyewe ni recorded Je ingekuwa LIVE? CCM hamjifunzi kupitia kipindi cha" Harakati Majimboni"?
Jifunzeni kampeni za midaharo za majukwani zimepitwa na wakati,

Toka Makamba awakataze nanyie mmemfuata, bila kutadhimini? Poleni sana...
 
pole sana VUVUZELA NAPE.Kwa taarifa yako ungekuwa na maadili tu ungekula sana mema ya hii nchi...Lakini kwa kuwa heshima na adabu vimekupita pembeni bado una mlima wa kupanda si kwa sisi vijana wenzako na marika mengine yote....Heshima hainunuliwi baba.Wewe na ujana wako nakuuliza SLAA NI BABU YAKO?!!.jifunze kuwa na adabu...KWA WAKUBWA ZAKO.

mwana mwenye heshima na adabu ni mzigo wa babaye lakini kama hayo ni mzigo wa mamaye....

nakushauri.

1.mtafute mama yako akufundishe adabu.
2.Siasa ni siasa na utu ni utu ,mpe heshima SLAA na siyo kumuita babu.
3.Fuata maadili ya kazi yako.
4.Kuwa na mipakaya kazi yako au wewe ndo kinana?
5.Epuka cheap popularity.
6.Jitathimini kisiasa.

Nape anaanzishaga dharau kwa Dr Slaa ambaye ni umri wa baba yake,akidhani anawafurahisha watu wote kwa upuuzi wake huo madhara yake watu wanapoamua kumletea na yeye maneno ya dharau juu ya yeye kuwa mtoto wa haramu,
anaanza kujilizaliza kutaka huruma ya mods'
 
A tragedy of miscalculation Nape, umeleta pumba hapa jana zime backfire unarudi hapa kivingine tena kwa unafiki, kama heading inavyojieleza "kweli kufilisika kisiasa" ulikofikia ni aibu
 
Hakuna maradhi yasiyo na dalili.,ni wazi kuwa chadema wanao ugonjwa mkubwa ambao hivi karibuni utawasababishia kifo cha ghafla. Ukitaka kujua kuwa hawa jamaa wameanza kupoteza touch na jamii ni kwenda mrama kwa propaganda forums zao ikiongozwa na gazeti la Tanzania Daima, JF and the alike. Hii ni kwa kuandika habari zenye mlengwa mmoja bila kubadilika hivyo kuwachosha wasomaji.

Lakini ubutu huu wa kutobadilika na kutofikiri kwa kina juu ya mbinu mpya na zenye mshiko zaidi kwa jamii ni dalili tosha ya ugonjwa mbaya wa kutofikiri sawasawa uliowafika chadema. Utumiaji wa mikakati na mbinu za kijasusi za kudhuru wanaCCM na kuwatishia maisha kila wanaopingana na falsafa na mitazamo ya chadomo ni mbinu zinazokichafua chama hiko kichanga.

Lakini baya zaidi ni hii tabia iliyozuka na kukua kwa kasi ya kumuabudu babu na kufanya kila analoliamrisha ndani ya chama hicho. Babu amekuwa na utaratibu wa kujitengenezea kundi ambalo limeleta mmomonyoko ndani ya chama hiko na kuhatarisha hata uhai wa chama hicho.

vijana wa chadomo waanze kujifunza kuhoji n kujisahili binafsi juu ya mitazamo ya chama na mitazamo yao wao juu ya chama. Hamuwezi kujua chochote iwapo hamtahoji na kudadisi juu ya mwenendo wa babu na chama chenu cha kigaidi.

Acha kuzunguka hata bwana Nape anakuona mzushi jibu hili kutoka kwa Nape!

"Niseme toka jana niliposoma propaganda ya Tandaleone nilishangaa lakini nikajipa muda kujua msingi wa propaganda ile"

Nyote wanafiki tu!!!!
 
Toka jana nimekuwa nikisoma kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu hoja ya " NAPE, KINANA NA DR. SLAA" juu ya kipindi kilichodaiwa kuandaliwa na ITV. Leo kwa uzito mkubwa stori hiyo imebebwa na gazeti la Chadema la TanzaniaDaima. Kwa gazeti hili ni stori inayouza gazeti lao leo.

Niseme toka jana niliposoma propaganda ya Tandaleone nilishangaa lakini nikajipa muda kujua msingi wa propaganda ile. Baada ya muda nikaona majibu ya Babu Dr. Slaa nikayashangaa pia japo si sana, bado niajipa muda. Jioni nikapigiwa simu na mwandishi wa TanzaniaDaima kuulizwa juu ya hiyo stori, nikasema wameanza sasa kuja hadharani na makusudi yao naanza kuyafahamu.

Pamoja na kujitahidi kueleza kilichotokea bado matokeo ni Lead Stori ya TanzaniaDaima leo inayodai eti Kinana kamkimbia kiaina Babu Dr.Slaa!!!! Raafiki yangu mmoja asub alipoona gazeti la Chadema limeandika vile akanitania akasema nilitegemea UHURU waandike "KINANA AMPUUZA BABU DR. SLAA" nikamwambia UHURU linafanya kazi ya nchi si ya Chama pekeake ndo maana limekuwepo hata kabla ya CCM kuwepo!!

Lakini ninachotaka kusema hapa ni propaganda kama za Gazeti la Chadema leo ni dalili za kufilisika sana kisiasa kiasi kwamba hhata jambo dogo sana linageuzwa kuwa jambo kubwa na linalodhaniwa linaweza kutumika kipropaganda.

WASWAHILI WALISEMA kwa sisimizi hata kifuu cha nazi kwake ni sawa na bahari!Pengine tungemsaidia sana mwajiri kwa kumfanyia utafiti kwanini ofisi za wilayani na mikoani za taasisi anayoiongoza zinafungwa kwa kasi ya ajabu.

================================
Habari kamili toka Tanzania Daima
================================
hivi haya ni mapenzi kwa cdm/Dr. Slaa au ni chuki!?
Na ni taasisi gani unayoifanyia uenezi kati ya cdm na ccm, maana umeitaja ccm mara moja tu!!
 
Nape for real hufaham siasa,sijawahi kukukubali hata siku moja,naona unajitekenya na kucheka mwenyewe..ID ya Tandaleone ni wewe na usilete siasa za ujangili humu.Hamuwezi kuifitinisha chadema na sisi wenye nchi kwa bei rahisi kipropaganda..HIYO NAFASI ULONAYO imekupwaya.

bro ur a GThinker naanza kuunganisha dot jinsi ya mwandiko mpangilio maneno na hata mtiririko wa mawazo tandale one ndo nape nauye
 
Kwenye mdahalo kati ya genius na galasa? ITV acheni kumdhalilisha Dr Slaa.
 
Dah ! Nimeamini siasa si Mchezo ! Yaani huyu aliyeandika haya ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama ? Hata haieleweki alikuwa anamaanisha nini ! Haieleweki analalamika, anatoa maelezo , anasikitika au anajuta !
 
mimi mwenyewe nimeshangaa kuona habari inaandikwa kinyume na ile iliyokuwa kwenye mitandao jana kwanza gazet limesisitiza kuwa habari za kinana kusepa zilikuwa kwenye mitandao ya kijamii wakati kwenye mtandao jana tulikuwa tunadiscuss kuhusu kusepa kwa slaa baada ya kumuona Nauye.
 
Back
Top Bottom