Kuficha kuwa una mtoto katika uchumba

Kuficha kuwa una mtoto katika uchumba

Kama demu ana mtoto siooi ng'o, hukawii kumuona mzazi mwenzake nyumbani kwako na ukiuliza unaambiwa amekuja kumsalimia mtoto. Kitoto chenyewe kikileta dharau ukakichapa pia utasikia unanipigia mwanangu angekuwa wako ungempiga hivi. Kama ana mtoto atakwenda kwa bibi yake.
 
usiwacheke mamba kabla hujavuka mto.., wengi wanapenda iwe hivo ila inashindikana.., ladba chukua option ya pili, akikataa kukuoa wakati una mimba utaitoa, au chukua ya tatu.. no sex before marriage. ya mwisho is the best my dear.

Option ya nne, practise safe sex inazuia mimba zisizotarajiwa!
 
Kama demu ana mtoto siooi ng'o, hukawii kumuona mzazi mwenzake nyumbani kwako na ukiuliza unaambiwa amekuja kumsalimia mtoto. Kitoto chenyewe kikileta dharau ukakichapa pia utasikia unanipigia mwanangu angekuwa wako ungempiga hivi. Kama ana mtoto atakwenda kwa bibi yake.

Wanaofanana waoane wao wenyewe! Mambo ya kuleteana stress ndani ya ndoa ntayaweza wapi? Wanang'ang'aniaga kusema bahati mbaya, bahati mbaya umezaa na mume wa mtu? Duh!
 
ukweli ni jambo la busara sana japo wengi hawataki kuusema.ni vizuri kumwambia ili ajue na kusiwe na migogoro isiyo ya lazma baadae.
 
ni vyema kumwambia ili na yeye afanye maamuz ya kukubali umuoe ama lah.
 
Vijana wa sasa mna kazi sana...poleni
 
Watu wawili wanapokuwa na mtoto inamaanisha wanakitu kinachowaunganish. Na ndio hilo wanaume wengi hawalipendi, nitajuaje tabia za huyo baba wa mtoto, isije ikawa ndio visharobaro vya mjini hapa vinaanza kupiga simu saa nane usiku kutaka kujua kama mtoto amekula!!!

Pamoja na hayo, kuna complications nyingi za kulea mtoto wa mtu. Kwa sababu malezi yanatofautiana, mtoto akienda kwa baba yake huko anakuja na tabia za ajabu ajabu home. Mabinti msizae na watu ambao hamna uhakika nao kwamba watakuja kuwaoa, unapunguza maksi nyingi sana kwenye credibility report yako
 
Utakuwa mwehu kama ulikuwa unamganda mwanangu peke yake. Hebu tafuta vidumu viwili hapo fasta. Wote watatu.wakiwa unreachable at per ujue una nuksi. Usinicheshee mwanangu bibi weeh. Nimekumisije? Hehehe
hahaha!!! halafu mkwe nimekumiss sana mie, mwanao kanitoroka sina mume tena. niruhusu basi nimtafutie replacement.
 
Utakuwa mwehu kama ulikuwa unamganda mwanangu peke yake. Hebu tafuta vidumu viwili hapo fasta. Wote watatu.wakiwa unreachable at per ujue una nuksi. Usinicheshee mwanangu bibi weeh. Nimekumisije? Hehehe
hahahaah!! tatizo vidumu vyote naviona used, si unajua mwanao alikuwa brand new ndio maana nilikolea!! lol. bora hata unirithishe yule last born maana ukoo wenu staki kubanduka.
 
Shem ndio maana nakuambiaga uje kututembelea ona sasa umesahau shemeg wako vile yupo...

Hebu fanya hima ujongee kwetu utusabahi atii...

hehehe!! tatizo sist measkron ananibania kufika home, hata sijui kwanini haniamini... ila akifanya masihara mapinduzi yanaruhusiwa. si unaona mkwe wangu King'asti kanambia nitafute tafute... lol
 
Last edited by a moderator:

Kuna whatsapp, Fesibuku na hapa JF kuna pm. Why this?
 
Last edited by a moderator:
hehehe!! tatizo sist measkron ananibania kufika home, hata sijui kwanini haniamini... ila akifanya masihara mapinduzi yanaruhusiwa. si unaona mkwe wangu King'asti kanambia nitafute tafute... lol

Ha ha haaaaa! Husninyo wewe acha kusaka sababu njoo ututembelee ndugu zako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom