Kuficha kuwa una mtoto katika uchumba

Kuficha kuwa una mtoto katika uchumba

Watu wawili wanapokuwa na mtoto inamaanisha wanakitu kinachowaunganish. Na ndio hilo wanaume wengi hawalipendi, nitajuaje tabia za huyo baba wa mtoto, isije ikawa ndio visharobaro vya mjini hapa vinaanza kupiga simu saa nane usiku kutaka kujua kama mtoto amekula!!!

Pamoja na hayo, kuna complications nyingi za kulea mtoto wa mtu. Kwa sababu malezi yanatofautiana, mtoto akienda kwa baba yake huko anakuja na tabia za ajabu ajabu home. Mabinti msizae na watu ambao hamna uhakika nao kwamba watakuja kuwaoa, unapunguza maksi nyingi sana kwenye credibility report yako

Ilo nalo neno, ila vijana wakikutana maeneo haswa chuo kikuu wanajenga uhusiano mzur tu wa uhakika kwa msaada wa boom mpaka wanaanza maisha ya "mke na mme" kichuo chuo hadi mimba znaingia, mziki unaanza pale chuo wamemaliza, boom limekata alafu na kazi kupatikana mbinde!!! apo ndo wanaanza kukimbiana na kuachiana majanga!!!
 
Back
Top Bottom