Javdeti
Member
- Aug 21, 2019
- 24
- 24
Tatizo watu hawajapenda Dodoma kupewa hadhi yake,wanataka kila kitu kiwe Dar kwa kigezo cha bahari na starehe nyinginezo.Mungu akipenda inawezekana Dodoma ikawa chanzo cha mafanikio ya mikoa ambayo iliachwa na wakoloni pasipo maendeleo yoyoteBonds la ufa! Japani kuna matetemeko mengi sana kuliko Dodoma, hata hivyo Japani inamajengo marefu kuliko yaliyopo Tanzania.
Ukame, pamoja na ukame lakini mji wa Dodoma hauna tofauti na Dar!
Mzunguuko wa pesa, makao makuu ya serikali si mji wa kibiashara, wengi wanadhani ndiko biashara zote zitakakofanyika, mji wa biashara utabaki kuwa Dar.
Makao makuu ya CCM, hili kwa sasa halina uhusiano na makao makuu ya serikali, vyama vyote vikohuru kujenga Dodoma.