Hiyo ni ya Muda tu. Stand mpya itafunguliwa February mwakani.Stendi imepauka kama jua limeshuka hapo halafu likapaa yaaani ni aibu tupu
Mkuu hapo hakuna link ya information zako na kukosewa kwa Dodoma kuwa makao makuu
Wee jamaa hoja yako Dhaifu sana, kwa hiyo ulitaka mji uandaliwe kwanza ndo serikali ihamie?Singida inawezakana ..ila kwa dodoma itibidi artificial lake and rivers waje wazitengeneze kwa baadaemji gani hauna maporomoko na maji ya kule ni ya chumvi tu ukioga unapauka ngozi .UNGEWEKWA MKAKATI WA 20 YEARS WAKUFANYA MABADILIKO YA KWELI

MARA MIA MJI UNGEJENGWA MOROGORO KWA KUIKATA KATIKATI UKATENGENGWA MKOA MMOJA UKAITWA MAKAO MAKUU
KWASABABU NI KARIBU NA DAR ES SALAAM
Mafuriko ya jangwani tu serikali wameshindwa kutafuta engineering solutionwaneenda dodoma kwenye matetemeko. Hizo gharama za kukarabati nyufa za majengo endapo kuna matetemeko sijui zipo au ndio siasa tu
Nakubaliana na maamuzi ya kuhamishia makao makuu ya nchi kuwa Dodoma ila kitu ambacho hakijanifurahisha ni kuharakisha uamuzi na kutowahusisha wataalamu ktk maamuzi
Wangefanya kama UAE, Mfalme alichukua vijana 10 akawapeleka katika 5 Big Cities(2@ in every city) in the World kazi yao kubwa ni kufanya Observation kwa miaka 2 mtawalio jinsi gani miji hiyo inatunzwa na kuendeshwa na kupeleka report kwa Mfalme hatimae ndio hii miji tuionayo sasa
Mimi ni muumini mzuri wa kitu kinaitwa " simulation" yaani kama unaamua kuhamia Dodoma unajipangia a number of steps za kuhama kulingana na mahitaji ya kuhama, na hiki kitu kiliishaanza kufanyika tena hamuwezi kuamini Wizara ya Kwanza kuhamia Dodoma ilikuwa ni Wizara ya Maji chini ya Edward Lowassa nina hakika it was a good strategy Wizara ya Maji kuhamia kule na kuweka sawa Infrastructure za Maji toka Ziwa Victoria ambapo kungekuwa na malengo ya lets say miaka 15 ijayo ambapo kwa wakati ule hivi sasa ingeishafika miaka 15
Kulikuwa na Wizara nyingine iliyokuwa chini ya Mizengo Pinda nayo ilikwishahamia kule nayo ingefanya mambo yake then hivyo hivyo mpaka Wizara zote zinaisha
Pumba tupu hujui kujenga hoja watu walifocus usalama zaidi afu watu wa Dar ni tabu tupu ukiwa Dar ni full foleni full stress makazi duni joto Kali shida tupuWakuu zipo sababu kibao ambazo tukizitaja zinaweza kuwa mwiba mchungu sana lakini itabidi tuzitaje ili kuuboresha mji wa Dodoma ambao umepewa hadhi ya jiji ikiwa kimuonekano baado sana
1. Geografia ya mji wa Dodoma
Mkoa huu ni miongoni mwa mikoa mikame na yenye asili ya jangwa kwa maana hauna mvua za kutosha ikiwa wastani wa mvua zake ni miezi mitatu au minne kasoro. Hivyo uoto wa asili muda wote ni ukame. Najiuliza sana serikali yetu imetenga bajeti kuwekeza katika eneo lenye ukame na kulifanya liwe la kuvutia au wamekurupuka tu.
Tukiangalia miji ya Dubai, Misri yenye hali kama hii ya ukame wametumia gharama kubwa kufanya miji ipendeze.pia ukiacha ukame kuna bonde la ufa limepita pale ambalo kitaalamu linakufanya usijenge majengo marefu kwenda juu.
2. Mzunguko wa pesa
Kwa sasa mkoa huu umekuwa na mzunguko wa pesa kwakuwa kuna uuzwaji mkubwa wa viwanja lakini baada ya hapo sidhani kama kutakuja kuwa na mzunguko wa pesa. Pia uwekezaji unaofanyika hauendani na ungezeko la watu.
Yaani unajenga majengo ya gharama mbali na miji ya watu halafu watu waje wajae kama maji ya bahari ni kitu kigumu sana.
Hii itatokea kwa miaka ya mbele kama 40 au zaidi. Kinachofanyika sasa ni kuharibu pesa za walipa kodi ambazo kurudi kwake itatugharimu miaka mingi.
3. Ni mji wa kisiasa (Makao makuu ya CCM)
Kwa mitazamo ya kawaida tunajua huu mji Nyerere na serikali waliufanya uwe makao makuu ya Chama cha Mapinduzi. Kimsingi sio wazo baya ila Nyerere mwenyewe alishtuka kuufanya katika kuufanyia maendeleo kwa kuwa kisiasa watu watajitambua na CCM itapoteza taswira. Serikali hii imevunja kanuni ya huu mji haukutakiwa kuendelezwa ili CCM itawale.
Yapo mengi ya kuelezea kwangu mimi. Wadau kama mnayo kuhusiana na mji huu mnaweza kutiririka.
Kama hupendi kwa sasa hayo ndiyo maamuzi. Period.Wakuu zipo sababu kibao ambazo tukizitaja zinaweza kuwa mwiba mchungu sana lakini itabidi tuzitaje ili kuuboresha mji wa Dodoma ambao umepewa hadhi ya jiji ikiwa kimuonekano baado sana
1. Geografia ya mji wa Dodoma
Mkoa huu ni miongoni mwa mikoa mikame na yenye asili ya jangwa kwa maana hauna mvua za kutosha ikiwa wastani wa mvua zake ni miezi mitatu au minne kasoro. Hivyo uoto wa asili muda wote ni ukame. Najiuliza sana serikali yetu imetenga bajeti kuwekeza katika eneo lenye ukame na kulifanya liwe la kuvutia au wamekurupuka tu.
Tukiangalia miji ya Dubai, Misri yenye hali kama hii ya ukame wametumia gharama kubwa kufanya miji ipendeze.pia ukiacha ukame kuna bonde la ufa limepita pale ambalo kitaalamu linakufanya usijenge majengo marefu kwenda juu.
2. Mzunguko wa pesa
Kwa sasa mkoa huu umekuwa na mzunguko wa pesa kwakuwa kuna uuzwaji mkubwa wa viwanja lakini baada ya hapo sidhani kama kutakuja kuwa na mzunguko wa pesa. Pia uwekezaji unaofanyika hauendani na ungezeko la watu.
Yaani unajenga majengo ya gharama mbali na miji ya watu halafu watu waje wajae kama maji ya bahari ni kitu kigumu sana.
Hii itatokea kwa miaka ya mbele kama 40 au zaidi. Kinachofanyika sasa ni kuharibu pesa za walipa kodi ambazo kurudi kwake itatugharimu miaka mingi.
3. Ni mji wa kisiasa (Makao makuu ya CCM)
Kwa mitazamo ya kawaida tunajua huu mji Nyerere na serikali waliufanya uwe makao makuu ya Chama cha Mapinduzi. Kimsingi sio wazo baya ila Nyerere mwenyewe alishtuka kuufanya katika kuufanyia maendeleo kwa kuwa kisiasa watu watajitambua na CCM itapoteza taswira. Serikali hii imevunja kanuni ya huu mji haukutakiwa kuendelezwa ili CCM itawale.
Yapo mengi ya kuelezea kwangu mimi. Wadau kama mnayo kuhusiana na mji huu mnaweza kutiririka.
Ulichokiona wewe hata mimi numekiona tena kwa jicho kali sana MIJI YA KALE ILIKUA MAARUFU KWA BIASHARA MPAKA IKAJENGEKA NA KUWA MIJI MIKUBWA HOJA YA KUJENGA KAMA SERIKALI YETU INAVYOFANYA NI KAMARI MBAYA SANA TUSIJE KUWA NA MAGOFU BAADAEni mara yangu ya kwanza kukaa ddm angalau kwa wiki mbili sasa, ukweli bado safari ni ndefu sana sana kuifikisha ddm kwenye hadhi ya jiji, ddm bado mno
Mkuu umeongea point sana kwakweli TUACHE KUKURUPUKA KISIASA TUWEKE MIPANGO YA MUDA MREFU TENA TUKIWA NA SABABU ZA KIUCHUMINi jambo zuri Kwa Mji Mkuu DODOMA lakini kila jambo lazima lipewe nafasi yake ya kipekee, Kupeleka mji dodoma hakuihitaji pesa tu bali Muda, na nafasi pia. Dar es salaam ina kila namna ya nyingi ya kuelezea kuwa Bado utadumu kuwa mji mkubwa kwa kipindi kirefu tu bila strategies nzuri ni sawa na kuforce Maji yapande mlima Kupeleka peleka tu mji haraka haraka tu ilimradi tu ionekane umefanya wewe still it doesnt explain any essence
Sio lazima tufanane au tufanye kama wanavyofanya wao! Acha tufanye yetu na ndo tumeshahamia Dom hakuna kurudi nyumaUkweli ndio huo mkuu huu tuangalie miji mikuu ya nchi mbalimbali duniani haikujengwa kama tunavyofanya sisi hapa tanzania kwa kuhamia dodoma
Fuatilia majiji kama ABUJA , KAMPALA, PARIS, TUNIS halafu uangalie na tunachokifanya sisi utajua kuna siasa za kipuuzi ..hebu jiulize bajeti ya kuujenga mji mkuu dodoma imetengwa na nan ?? Kama sio tunafanya kwa sifa za kisiasa