Kufeli kwa pharmaceutical technicians katika mithian ya lessen

Annie john

Member
Oct 2, 2021
38
31
Meona matokeo ya pharmaceutical technicians ya lessen kwa waliofanya mthian October hayaridhishi hata kidogo kati ya asilimia 100 walofaulu ni asilimia 15 tu..!!shida iko wap kwa baraza au pharmaceutical technicians wenyewe?

Na njia zipi zitumike kusaidia kukuza ufaulu? Kwasababu inatokea watu wamefanya mthian hata mara sita and still wana fail kwa wenye mawazo yanayoweza wasaidia hawa watu na kuwapatia mwanga kidg waweze kupata matumaini na taaluma walio isomea.

Uhalisia hii course ni ngum. Mpk mtu kumaliza chuo anakua amefanya mithian ya wizara kwa miaka mitatu yote. Sasa anapokuja mtaan kupata lessen inakua kipengere tena kidg inakatisha tamaa.

Summary ya matokeo
IMG-20231224-WA0052.jpg
 
Ukiondoa kuuza dawa kwenye maduka na kugawa dawa hospitalini na kupanga madawa kwenye shelves,wafamasia bongo wanabaki na kazi gani?

Habari!

Binafsi ninaweza kusema, si rahisi sana kuwashauri mpaka uhusishe kuona vitu hivi:

1: Watunga mitihani
2: Wafanya mitihani
3: Mitihani yenyewe
4: Vyuo husika

A: Watunga mitihani
1: Huwa wanalenga kujua nini toka kwa watahiniwa?
Uwezo wa kukumbuka vs Uwezo wa kuweka waliyosoma kwenye vitendo.

2: Ni kiasi gani cha sehemu ya mtihani kinalenga kumbukumbu vs Vitendo?

3: Utungwaji wa maswali yana kificho au uhitaji wa kiasi gani kwa mtu ambaye bado ni junior kwenye field husika?

4: Wanaamini kwenye utaratibu husika na kuuzingatia malengo yake?

B: Wafanya mitihani
1: Ni kwa kiasi gani huweza kuimarisha kumbukumbu zao wakati hawako chuo.

2: Ni kwa kiasi gani mazingira yao baada ya chuo yanawazesha kufanya kazi/mazoezi kwa vitendo/standardized na aina za kazi kwa vitendo husika, ili kupata maarifa linganifu na mitihani inavyowahitaji.

3: Kwa kiasi gani wanajibidisha kuweza kuyapata yote hapo juu 1&2

4: Kuna wanaoamini wanafelishwa ili kuendelea kulipia mitihani (wanawekwa kama hazina).

C: Mitihani yenyewe
1: Kwenye uhalisia imebeba maudhui yapi na kwa kiasi gani kutokana na A kule juu.

D: Vyuo husika, walimu na mitaala
Ni kwa kiasi gani vimejizatiti kuto elimu bora kwa theory na viitendo, ili wahitimu wengi wawe wanatoka wameiva vyema.
 
Kwanza mambo ya Leseni ni wizi mtupu, kwanini mtu anapopata cheti cha kumaliza masomo asipate na leseni moja kwa moja?
Nchi hii mambo ya hovyo ni mengi sana
Sio Tanzania tu ...ata uko Tulikochukua mifumo ya elimu aya mambo ya leseni yapo
 
Kwann iwepo mitihani ya Leseni why mtu asipate cheti chq elimu qlosoma na leseni kwa pamoja? Mbona clinical officers hawafanyi mitihani ya leseni
 
Ukiondoa kuuza dawa kwenye maduka na kugawa dawa hospitalini na kupanga madawa kwenye shelves,wafamasia bongo wanabaki na kazi gani?
Hamna mkuu nashangaa serikali inawalipa helaa kubwaa... Wanaweka vyeti kwenye famasi wanalipwa hela kubwa pia.. Inauma sanaa sijui tuandamanee
 
Kwann iwepo mitihani ya Leseni why mtu asipate cheti chq elimu qlosoma na leseni kwa pamoja? Mbona clinical officers hawafanyi mitihani ya leseni
Mtihani wa leseni muhimu kupika kama Vijana wameivaa..Madaktari walitaka kugomea ila wamekwamaaa so acha wakaangweee.
 
Meona matokeo ya pharmaceutical technicians ya lessen kwa waliofanya mthian October hayaridhishi hata kidogo kati ya asilimia 100 walofaulu ni asilimia 15 tu..!!shida iko wap kwa baraza au pharmaceutical technicians wenyewe?

Na njia zipi zitumike kusaidia kukuza ufaulu? Kwasababu inatokea watu wamefanya mthian hata mara sita and still wana fail kwa wenye mawazo yanayoweza wasaidia hawa watu na kuwapatia mwanga kidg waweze kupata matumaini na taaluma walio isomea.

Uhalisia hii course ni ngum. Mpk mtu kumaliza chuo anakua amefanya mithian ya wizara kwa miaka mitatu yote. Sasa anapokuja mtaan kupata lessen inakua kipengere tena kidg inakatisha tamaa.

Summary ya matokeoView attachment 2851653
Kama wewe Annie john ni mmoja wa watahiniwa, kushindwa kuandika neno lesseni, mtihani na kipengele ni alama kuwa ni kiazi.
 
Meona matokeo ya pharmaceutical technicians ya lessen kwa waliofanya mthian October hayaridhishi hata kidogo kati ya asilimia 100 walofaulu ni asilimia 15 tu..!!shida iko wap kwa baraza au pharmaceutical technicians wenyewe?

Na njia zipi zitumike kusaidia kukuza ufaulu? Kwasababu inatokea watu wamefanya mthian hata mara sita and still wana fail kwa wenye mawazo yanayoweza wasaidia hawa watu na kuwapatia mwanga kidg waweze kupata matumaini na taaluma walio isomea.

Uhalisia hii course ni ngum. Mpk mtu kumaliza chuo anakua amefanya mithian ya wizara kwa miaka mitatu yote. Sasa anapokuja mtaan kupata lessen inakua kipengere tena kidg inakatisha tamaa.

Summary ya matokeoView attachment 2851653
Hiyo mitihani ya marudio kuifanya ni pesa. Ingekuwa wewe Una pata
Pesa watu wakifeli, wakifaulu unakosa utachagua kipi!!?
Vyanzo vya pesa ni hiyo mitihani tu nafikiri hii ni changamoto
Kama law school kwa wanasheria, na madaktari na leseni zao.
 
Kwanza mambo ya kulipia mitihani ya Leseni ni wizi mtupu, kwanini mtu anapopata cheti cha kumaliza masomo asipate na leseni moja kwa moja?
Nchi hii mambo ya hovyo ni mengi sana
Nilishawahi kujiuliza hili pia.
 
Back
Top Bottom