Kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa ni dhambi?

Ndio ni dhambi hata kama umetolewa mahari. Tendo la ndoa ni baada ya ndoa takatifu na kuunganishwa na Mungu! Ndio maana maandiko yanasema alichounganisha Mungu mwanadamu asitenganishe!

Maisha ya sasa, malimwengu na mazoea yamefanya tendo la ndoa kuwa kitu cha kawaida! Starehe kama kunywa pombe!
 
Nani alikupata utashi wa kujua/kutambua uchakatajia?
Kuna jamaa mmoja aliuliza swali, wakati unakutana na mwenzako kwa mara ya kwanza, kwa nini hukukosea kulenga? badala ya kulenga kwenye kwapa, ukajikuta umelenga sehemu sahihi?
 
Ndio ni dhambi hata kama umetolewa mahari. Tendo la ndoa ni baada ya ndoa takatifu na kuunganishwa na Mungu! Ndio maana maandiko yanasema alichounganisha Mungu mwanadamu asitenganishe!

Maisha ya sasa, malimwengu na mazoea yamefanya tendo la ndoa kuwa kitu cha kawaida! Starehe kama kunywa pombe!
Aliye sema, imeunganishwa na Mungu; ni binadamu au ni Mungu mwenyewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom