Kufanya Ngono kinyume na Maumbile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufanya Ngono kinyume na Maumbile

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Sep 7, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Sasa kama kawaida yangu mimi huwa sina tabia ya kutisha watu au kuwakataza bali najaribu kueleza ukweli kisha wewe kama mtu mzima utaamua nini cha kufanya kwani naamini kabisa kuwa sote ni watu wazima na tuna akili timamu na tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni Uchaguzi wako

  Kufanya ngono kusiko a.k.a Tigo "MWIKO" ktk jamii nyingi Ulimwenguni si​o kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na ina madhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.

  Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku lakini mambo hayo ni "taboo" ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uzinzi.

  Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua "unajisikiaje" lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.

  Inasemekana kuwa wanawake kuwa hawana hisia za utamu au raha ndani ya Tigo bali wanaume wanahisia Fulani na unono huko kunako "O" na baadhi husimamisha zaidi ikiwa watabonyezwa katikati ya mapumbu na sehemu ya kunyea au kuchuliwa/shikwa/kandwa/lambwa kwa vile kuna vijimishipa ambavyo ni "most sensitive"na hupelekea wapate utamu ule wanaopata wanawake wanapotandikwa kwenye "kipele G".

  Lakini kutokana na miiko wanaume wengi huwa hawaruhusu hii kwa vile wanahisi kuwa hakuna tofauti na kuwa shoga au wanadhani watazoea na kuwa "watoto wa watu" (Ushoga ni hali/hisia ya kuvutiwa/kutamani mtu wa jinsia yako sio kushikwa au kufurahia sehemu ya mwili wako).

  Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia);.wazoefu watusaidie hapa.


  Ukweli kuhusu Tigo.
  - Sio tendo asilia ktk swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa Tigo kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya wa vile "mchumba" kaomba/anataka wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio "natural" na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.

  Tigo hauna ute asilia wa kuisaidia **** kuingia bila "kwere" hivyo unahitaji vilainisho maalumu ili kurahisisha hilo.

  - Hakikisha mnatumia Condom zenye "polyurethane" hizi inasemekana ni imara na zinahimili joto la huko kumavi kuliko zenye "spermicides" kwani husababisha muwasho utakaoweza kukusababishia maambukizo mengine yatokanayo na wadudu asilia walioko sehemu hiyo ya kunyea.

  -Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.

  -Hakikisha uume ukitoka Mkunduni haugusi au kuingizwa tena ukeni ili kuepuka maambukizo kwani sote tunatambua kuwa huko mahala kuna vijidudu asilia ambavyo ukivikanganya tu unaibuka na gonjwa la ajabu(unakumbuka hadithi ya AIDS?).

  -Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).
  -Kuingiziwa ndude huko kumugongo kunauma (kunakupa maumivu)..fikilia unapokunya kimba gumu tena baada ya kumeza mbegu za matunda Fulani yanaitwa "mabungo";tunda lenyewe ni mbegu na mbegu hizo zinatabia ya kutereza bila taarifa.sasa rafiki yangu sikilizia wakati wa kutoa kimba utalia basi nasikia Tigo pia inauma sana lakini wasogo wake wanatumia mafuta au Jelly kutimiza haja zao.

  -Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko hutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.

  Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.

  *Mimi binafsi napinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako.wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.

  Ushauri wa bure-kwa wanawake Jiheshimu na thamini mwili wako.usitoe Tigo lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi.ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.
  Tafadhali shirikiana nami kwa kushusha madhara ya Tigo au faida kama zipo.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 418,988
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu............endelea kuelimisha jamii na mwerevu ataerevuka lakini punguani hatasikia mpaka yamkute......
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  uelewa wangu, sawia na maumbile ni **** na **** tu...

  vipi kuhusu punyeto, je nayo ni kinyume cha maumbile?? mikono nayo ina ute??? nk.?? vipi kuhusu kuweka **** kwenye maziwa au kunyonya ****, je nayo ni kinyume??

  maana watu wanadhani kinyume na maumbile ni TIGO tu...

  ntafurahi feedback yako mkuu
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Kilichokusudiwa hapa ni kufanya tendo la ngono kwa kutumia njia ya nyuma Tigo. Kumfanya Mwanamke nyuma ya umbile lake Tigo sio kupiga Punyeto au kuweka Ukuni wako kwenye maziwa mkuuu Janjaweed Kuna Thread inayohusu Madhara ya kupiga Punyeto bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/52288-kujichua-kunavyoweza-kuyaathiri-maisha-yako.html
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Je ukifanya Tigoism kwa mara moja kwa mwezi ni sahihi au sio sahihi? nieleweshe juu ya hilo MziziMkavu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Sio vizuri kufanya Tendo la Tigo hata kwa mwezi mara moja haitakiwi kabisa hata kidogo Mkuu ndetichia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  nafahamu hiyo link nk. lakini nadhani kufanya tendo kinyume na maumbile ni zaidi ya tigo... tatizo, we pick easy stuff for argument sake

  hemu niambie, katerero inakuaje??? ni kinyume au?? kunyonya sehemu za siri je??

  I know mtaniona mbishi, lakini nadhani tunakurupuka sana kuchagua kilicho rahisi kukisema

  kama vipi nipotezee tu.... ntakuboa:wacko:
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  kiimani au kiphysiologia??
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Kwa kila kitu Kiafya na na Kiimani mkuu Janjaweed Haifai kula Tigo...
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  sawa dr nimekuelewa je mboni hapo juu unashauri watumie Poly condom kwa ajili ya kulia tigo je ni kwa wale walioshindwa kuacha au ni kwa wale wanaotaka kufanya hiyo mambo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Umeeleweka!
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Katerero poa waweza fanya,Kumnyonya Mwanamke Sehemu za siri haifai huwenda huyo mwanamke unaye mnyonya ana maradhi kwenye uke wake unaweza kuambukizwa na hayo maradhi. Kwa hiyo

  kumnyonya mwanamke sehemu za siri haifai. Zipo sehemu za mwili mwanamke waweza kumnyonya haswa maziwa yake,

  na Mdomo wake waweza pia kumtia ulimi masikioni mwake au kumnyonya sehemu za tumbo lake sasa iweje umnyonye mwanamke sehemu za siri wakati kuna maradhi kule ya kike?Mkuu Janjaweed
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,697
  Trophy Points: 280
  Mziziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Mkavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu :):) Dr wa ukweli!!!! :)
   
 14. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  kisayansi zaidi huna hoja, ila kiimani au kihisia waweza kuwa na hoja
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mimi siwezi kukwambia utumie hiyo Tigo ukiweza wacha usipoweza fanya shauri yako hata kutumia Tigo kwa kuvaa condom haifai mkuu ndetichia Hii kitu ni dhambi mkuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,697
  Trophy Points: 280
  Hahahah lol! Mkuu JJD naona umeishupalia sana hii kitu lol!

   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu, napenda sana makala zako za kuelimisha. Wabongo ni kama tumerogezewa, tunakurupuka tu na kudandia mambo kwa mbele, eti kisa niliona kwenye sinema. Kazi ni kwako
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  mkuu wangu, kutia mwanamke asiye tayari kufanye tendo yaweza kuwa hatari kuliko kula tigo iliyo tayari

  tuna myths, sciences, na facts tunazoshindwa kuziaweka sawa, je wajua anal route hufikisha dawa zinazokua absorbed kwenye GIT haraka zaidi?? vipi wafaransa watakujibu vipi?? au waarabu wanaoongoza kwa kulana ndogo huku wakilaani najisi nk??

  nakwepa sana hii topic kwani sisi huwa tunaikurupukia, kuna athari gani kunyonya mbunye iliyoandaliwa vs. kunyonya nyonyo inayotoa damu???

  kazi ipo
   
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu Janjaweed Is there any bad side effects in sucking the vagina of woman?

  Best Answer - Chosen by Voters

  if she maintains good hygiene nothing but a vagina is a breeding ground of thousands of bacterias and viruses if infected,oral sex can cause serious STD and pass on the infection easily as it is the most easiest way for body fluids to merge. take protection and maintain clean habits and of course when you do the same thing everyday you do not enjoy it becomes a habit .
  Chanzo. Is there any bad side effects in sucking the vagina of woman? - Yahoo! Answers
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Anal sex

  Anal sex has always been a highly controversial subject, and the controversy that surrounds it looks set to continue into 2012 because evidence accumulates that this practice may sometimes lead to anal cancer.

  What is it?


  Anal sex means sexual activity involving the bottom – in particular, the type of intercourse in which the penis goes into the anus. It's often referred to as 'rectal sex'.

  Anal sex does carry considerable health risks, so please read our advice carefully.

  Our impression is that anal sex has become rather more common in heterosexual couples, partly because they have watched 'blue movies' in which this activity so often occurs.

  One small study carried out in 2009 suggested that in the UK, 30 per cent of pornographic DVDs feature rectal intercourse. Often, it is presented as something that is both routine and painless for women. In real life, this is not the case.

  Other types of sexual activity which involve the anus include:

  • 'postillionage' – which means putting a finger into the partner's bottom
  • insertion of 'butt plugs' – which are sex toys that dilate the anal opening and create a sensation of fullness
  • use of vibrators on or in the anus (please see cautionary note below)
  • 'rimming' – which is oral-anal contact; this carries a significant risk of infection
  • 'fisting' – which means putting the hand into the rectum; this activity is rare among heterosexual couples.

  Taboos and infection


  There are taboos surrounding the various types of anal sex – and particularly anal intercourse.
  These may arouse strong feelings of moral indignation, guilt and anxiety.

  It is important to remember that while some people find these activities repugnant, others may find them stimulating, exciting and a normal part of their sexual intimacy.


  Research shows that, whether we like it or not, the anal area is equipped with many erotic nerve endings – in both men and women.

  So it's not surprising that many couples (including a lot of heterosexual ones) derive pleasure from some form of 'bottom stimulation'.
  What about infection? Most sexual activities carry a risk of transmission of sexually transmitted diseases (STDs) ranging from gonorrhoea and herpes to hepatitis Band HIV.
  There's evidence that anal intercourse carries a higher transmission risk than almost any other sexual activity. Information about these risks is given below.

  Consent


  What consenting adults enjoy sexually in the privacy of their homes is their own business provided that the law does not prohibit it.
  The key issues are legality and consent. In the UK, anal intercourse is now a legal activity between consenting men and women aged 16

  and over, in both heterosexual and homosexual relationships, except in Northern Ireland where it's 17 and over.

  In some countries it is still a criminal offence punishable by long custodial sentences, and corporal or even capital punishment. It

  remains forbidden in some states of the USA, though in practice a Supreme Court decision of 2003 appears to invalidate these state laws.


  Anal intercourse is legally forbidden in some former colonies of Britain, notably in the West Indies.

  Consent freely given by both partners is an essential feature of sexual activity in a loving relationship. Many individuals, both men and women, may have secret fantasies involving anal intercourse but feel unable to discuss them with their partner.

  Some may try and pressurise their partner to have anal intercourse, even though the partner does not share their interest. Some partners will reluctantly acquiesce, others may be pressured or even physically forced to allow it.


  Forcing or pressurising a partner to submit to an activity that they find distasteful or degrading is completely unacceptable behaviour.

  Intoxication with drugs or alcohol is associated with lowering inhibitions and experimentation with unusual or unsafe sexual behaviour – and can lead to serious consequences.

  Some male gay couples use the drugs known as 'poppers' (nitrates) to try to relax the anal sphincter and so make penetration easier. But these agents do carry some risk of side-effects.


  It should be remembered that in the absence of freely given consent, the very serious criminal offences of assault and rape are committed.

  Therefore, it's essential that both partners agree that they wish to try anal sex as a part of their sexual repertoire and that they are sure of the legal position on anal intercourse in the country that they are in.

  Who does it?


  There is a common misconception that anal sex is practised almost exclusively by gay men. This is certainly not the case.
  It's widely claimed that one third of gay couples do not include anal intercourse in their lovemaking. According to one estimate, about a third of heterosexual couples have tried it from time to time.
  It's thought that about 10 per cent of heterosexual couples have anal intercourse as a more regular feature of their lovemaking.
  In absolute numbers, more heterosexual couples have anal sex than homosexual couples, because many more people are heterosexual.

  Is it safe?


  Anal sex, if practised with care, is possible for most couples.
  It does, however, carry health risks and there are safer sexual practices that couples can enjoy.
  The main health risks, which affect both heterosexual and homosexual couples, are described below.

  • Human immunodeficiency virus (HIV): there is no doubt that anal intercourse carries a greater risk of transmission of HIV – the virus that can cause acquired immunodeficiency syndrome (AIDS) – than other sexual activities, particularly for the receptive partner.
  • Human papilloma virus and warts: this virus can be transmitted during anal intercourse and that may lead to anal warts.
  • HPV and anal cancer: unfortunately, certain strains of HPV virus do have carcinogenic (cancer-provoking) potential. There are some types of HPV that cause cancer of the cervix in women and probably also cancer of the throat. Round about the beginning of the present century, research showed that HPV could be isolated from the tissues of many anal cancers. By 2008, it became clear that people who had been anally penetrated by multiple partners were unusually likely to get carcinoma of the anus. A Danish study has recently suggested that gay men may have a 17-fold increase in risk of anal cancer – but close inspection of this paper reveals that the number of people involved was very small. So the case is not quite proven yet, but there are enough data to suggest that if you are going in for anal intercourse, it's safest to do it with only one regular partner.
  • Hepatitis A (infectious hepatitis): this is a viral infection that can cause jaundiceand abdominal pain. Hepatitis A is not usually a life-threatening illness, although sufferers can feel quite ill. It can be transmitted by oral-anal contact.
  • Hepatitis C: is a cause of progressive and sometimes fatal chronic liver disease. Hepatitis C may be transmitted by anal intercourse, although this seems to be a rare occurrence. Sharing of equipment for intravenous drug use is a far more important risk for transmission.
  • Escherichia coli (E. coli): may sometimes cause mild to severe, or even (very rarely) fatal, gastroenteritis. It is one of many viruses and bacteria that can be transmitted by oral-anal contact. Some E. coli strains (uropathic E. coli) can also cause urinary tract infections (UTIs), ranging from cystitis to pyelonephritis – a serious kidney infection. E. coli very readily crosses the short distance between the female anus and the female urinary opening, so causing a urinary infection. Anal intercourse can facilitate this transfer, particularly if it is immediately followed by vaginal intercourse.
  Protection

  Avoiding anal sex altogether is of course the best way of avoiding these risks.
  There are other, safer sexual practices that can be exciting and rewarding, but many couples may still wish to try the anal route.
  The use of condoms and water-based lubricants, such as K-Y Jelly, will offer some protection.
  Other lubricants may cause condoms to split, as will over-energetic thrusting without adequate lubrication.
  Specially toughened condoms designed for anal intercourse may offer more protection.

  How to have anal intercourse safely


  Anal intercourse involves the penetration of the anus and rectum with the erect penis for the purpose of sexual stimulation.
  It is possible for both men and women to 'receive' it, although care is needed for it to be safe and comfortable.
  Ensure the anal area is clean and the bowel is empty. This is important both aesthetically and practically. If the bowel is empty, there is no risk of the receptive partner passing faeces.

  First try gently inserting a lubricated finger
  , perhaps covered by a condom or glove into the anus. This will enable the receiving partner to find out whether penetration is comfortable and enjoyable. Having managed to accommodate one finger, you can run it around the anal canal – gently stretching it. This must be done delicately so as not to cause pain or injury.


  If this is successfully achieved, the couple may agree to try with a well-lubricated penis or with a butt plug (a broad-based anal dilator), dildo or vibrator (see below about the risks of sex aids and anal sex).


  Gentleness, care, adequate lubrication and anal relaxation
  are required, not the insertive partner pushing harder! If condoms are used for penile penetration, which is advisable to reduce the risk of sexually transmitted disease, it is important to use a water-based lubricant. The insertive partner must be gentle with any thrusting, so as to give the receptive partner time to allow the sphincter to relax. With time and practice, this may become easier.
  Anal sex

  JAMANI NDUGU ZANGU WA KIUME TUWACHE KUWALA WANAWAKE AU WANAUMME WENZETU TIGO INA MADHARA MAKUBWA SANA.
   
Loading...