Kufanya Mradi Mdogo Pamoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufanya Mradi Mdogo Pamoja

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mamndenyi, Jan 26, 2012.

 1. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  Salaam wakuu,

  Napenda nilete wazo langu la kutafuta mtu mmoja ambaye tutasaidiana kufanya
  mradi mdogo wa kufyatua matofali. Vitendea kazi vipo vya kutosha kuanzia,
  atakayekuwa serious atafanya kazi na kijana wangu. Kwa anayeona hili wazo litalipa
  naomba ani PM ili tuweze kuelezena vizuri zaidi.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  je huu mradi unaweza kuzalisha tofali ngapi kwa siku? pia upo tayari kwa partnership ya kutoa asilimia ngapi?
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mamdogo shkamoo,mm am interested !!!
   
 4. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  upo maeneo gani mwa tanzania?? kama ni dar ni mtaa gani?? tuo maelezo ya kutosha kabla hatujaanza kukupm au unataka tukujazie inbox yako!
   
 5. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Please contact me at mooduke@gmail.com huko nitakupa namba yangu ya simu tuwasiliane mie niko serious na biashara hiyo
   
 6. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  hapo kwenye red sijaelewa, wewe unataka mtu wa kumfanyisha kazi au unataka business partner. kama unataka business partner kwa nini basi afanye na kijana wako badala ya wewe mwenyewe?
   
 7. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni PM mimi
   
Loading...