Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
All Hail papuchi...live long papuchi
All Hail papuchi...live long papuchi
Hahahaaa, viiivalive long papuchi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaha kufumaniwa ukipiga tu magoti,unapewa teke la tumbo[emoji23]
Huo mnuno naufukuza taratibu kwa miguso midogo midogo ya kimahaba mwisho wa siku kule afrika ya kusini kunaanza kutoa machozi! Machozi nayalamba kwa ulimi!! Acha kabisa!!! Nakupa tabasamu na raha hadi mnuno unayeyuka!Mmmmh sio kwa kila mtu....wengine dick sio weakness yetu !!! Nataka na napenda mwanaume aongee tena kama amenikosea anibembelezee kwa maneno mazuri hata kama ya uongo hapo hata mambo nitakupa ya uhakika kutoka moyon nikiwa na furaha afu ukinispoil kidogo ndo umenimaliza kila kitu ....... Sio jitu umenikosea kuomba msahama hutaki afu eti unataka mambo weeeeeeeeeee huo mnuno wake kwanza husogei karibu !!!!
Hakuna mwsnamke asiyependa kubembelzwa duniani, shida ni kuwa wanaume wanaoweza kubembeleza vizuri ni wachache mno duniani wengi wetu hupenda sana ubabe na kuForce mambo,Hivi mkishagombana na unataka kumpa hiyo kitu yako uliyoisema mwanzo utanzaje yani
Ni sahihi mbinu hii hata siku Dada akija kwako na kesi za mumewe wewe waite kwako jioni halafu unawa aga kama umepata dharura mtaongea asubuhi wakabidhi chumba peke yao baadae mpigie shemeji mwambie ale mzigo Asubuhi utakutana na story ya kuagwa kuwa ngoja wakajaribu kuyamaliza wakishindwa watarudi na utakuwa ndio mwisho harudi mtuHii ni kwa wanaume. Kama umeharibu kwa mke, mpenzi au rafiki wa kike kwa namna yoyote ile kuna njia nyingi za kuomba msamaha. Kuna wale wanaume wagumu sana kusema sorry nimekosea na wanawageuzia kibao wenzi wao kama defensive mechanism yao, kuna wale ambao hawatamki kuomba radhi moja kwa moja lakini huwaletea wenzao zawadi za thamani kama ishara ya kubembeleza.
Sasa hizo zote ni njia ndefu. Ni kama kuahirisha kesi tu, maana waweza fanya yoote hayo na bado ukaendelezewa gubu au kusimangwa au kusutwa au hata kununiwa. Njia ya uhakika ya kumaliza kesi ni kufanya kila namna utafune mzigo, iwe kwa kumshawishi demu/mke wako au kumvizia (sio kubaka lakini), tena siku hiyo upige show ya uhakika. Basi kama kuna maneno yoyote huo ndio utakua mwisho wake
Yaani hata kama mwanamke alipanga akakushtaki kwa wazazi kama ni mke basi uchawi wake ni huo. Baada ya hapo waweza sasa kuja na vizawadi vyako ambavyo vitapokelewa kwa bashasha na mahaba. Kama kutakua na maneno yatakua ya kawaida na madogo tu na utayamaliza kwa kupewa tena mzigo, safari hii kiulaiiini.
Angalizo ni kwamba njia hii ni kwa wanaume tu, maana kwa wanawake kumlainisha mpezi wako kwa kumpa papuchi inategemea na kosa lako. Kosa linalohusiana na uaminifu kwa maana ya kua unashukiwa kugawa nje hua halifutiki kutoka moyo wa mwanaume kwa muda mrefu na unaweza ukam seduce mpenzi ukampa papa lakini kesi iko palepale! Ni maumbile tu.
Hii ni mbinu ya wahenga ambayo bado ipo valid na inafanya kazi. Hata kwa upande wa dini kwa waislamu kama ukimpa talaka mwanamke (sio ya tatu) halafu uka sex nae automatically umemrudia japo talaka itahesabika
Nimeipenda sana hiyo ya kumpigia simu shemeji na kumuhimiza apige show usiku kwa sisterNi sahihi mbinu hii hata siku Dada akija kwako na kesi za mumewe wewe waite kwako jioni halafu unawa aga kama umepata dharura mtaongea asubuhi wakabidhi chumba peke yao baadae mpigie shemeji mwambie ale mzigo Asubuhi utakutana na story ya kuagwa kuwa ngoja wakajaribu kuyamaliza wakishindwa watarudi na utakuwa ndio mwisho harudi mtu
Hahaha [emoji23]Nilimkosea mke wangu asa katika kubembeleza si nikapiga show....baada ya hapo ndo ikawa balaa.
Akasema 'huyo mchepuko ndo anapata raha hivi.'....kilio kikazidi
hakunaga mapenzi matamu kama yale ya baada ya ugomvi, mnagombana wee mkipatana mnapatania kwenye kitanda afu mnakumbushana upendo...aisee linapigwaga show la uhakika.Hii ni kwa wanaume. Kama umeharibu kwa mke, mpenzi au rafiki wa kike kwa namna yoyote ile kuna njia nyingi za kuomba msamaha. Kuna wale wanaume wagumu sana kusema sorry nimekosea na wanawageuzia kibao wenzi wao kama defensive mechanism yao, kuna wale ambao hawatamki kuomba radhi moja kwa moja lakini huwaletea wenzao zawadi za thamani kama ishara ya kubembeleza.
Sasa hizo zote ni njia ndefu. Ni kama kuahirisha kesi tu, maana waweza fanya yoote hayo na bado ukaendelezewa gubu au kusimangwa au kusutwa au hata kununiwa. Njia ya uhakika ya kumaliza kesi ni kufanya kila namna utafune mzigo, iwe kwa kumshawishi demu/mke wako au kumvizia (sio kubaka lakini), tena siku hiyo upige show ya uhakika. Basi kama kuna maneno yoyote huo ndio utakua mwisho wake
Yaani hata kama mwanamke alipanga akakushtaki kwa wazazi kama ni mke basi uchawi wake ni huo. Baada ya hapo waweza sasa kuja na vizawadi vyako ambavyo vitapokelewa kwa bashasha na mahaba. Kama kutakua na maneno yatakua ya kawaida na madogo tu na utayamaliza kwa kupewa tena mzigo, safari hii kiulaiiini.
Angalizo ni kwamba njia hii ni kwa wanaume tu, maana kwa wanawake kumlainisha mpezi wako kwa kumpa papuchi inategemea na kosa lako. Kosa linalohusiana na uaminifu kwa maana ya kua unashukiwa kugawa nje hua halifutiki kutoka moyo wa mwanaume kwa muda mrefu na unaweza ukam seduce mpenzi ukampa papa lakini kesi iko palepale! Ni maumbile tu.
Hii ni mbinu ya wahenga ambayo bado ipo valid na inafanya kazi. Hata kwa upande wa dini kwa waislamu kama ukimpa talaka mwanamke (sio ya tatu) halafu uka sex nae automatically umemrudia japo talaka itahesabika
hahaaaa aiseee umevurugwa sana ..wajua hiyo avatar nilikuwa nadhani wew ni gudume ...hahaaa daahhKuna mtu nilitaka nimtunuku papucheee hot aitunze ila naogopa kumtongozaa
Asije niona mm malaya bure wacha niendelee kuitunza papuche yanguuuu
Hapo upendo unaongezeka mkuu, tena wengine wanasema kama wapenzi hamjawahi kugombana basi bado penzi lenu halijafikia kilele cha uimarahakunaga mapenzi matamu kama yale ya baada ya ugomvi, mnagombana wee mkipatana mnapatania kwenye kitanda afu mnakumbushana upendo...aisee linapigwaga show la uhakika.
mi nilimaanisha mke, nimeona, sishabikii uzinzi. ukigombana hata na mke unayependana naye siku mnapatana gemu huwa tamu kuliko siku zingine hasa mkiwa mlinuniaka kama wiki na zaidi hivi, kila mmoja moyo ulikuwa unamtamani mwenzie ila kaugomvi kalikuwa kanazuia, mkija kukutana...hmmmmHapo upendo unaongezeka mkuu, tena wengine wanasema kama wapenzi hamjawahi kugombana basi bado penzi lenu halijafikia kilele cha uimara
Big up kwa msimamo madhubuti kuhusu ndoa mkuu, uendelee na spirit hiyomi nilimaanisha mke, nimeona, sishabikii uzinzi. ukigombana hata na mke unayependana naye siku mnapatana gemu huwa tamu kuliko siku zingine hasa mkiwa mlinuniaka kama wiki na zaidi hivi, kila mmoja moyo ulikuwa unamtamani mwenzie ila kaugomvi kalikuwa kanazuia, mkija kukutana...hmmmm
actually wengi wetu tukitoka kazini tumechoka vichwa tukisuguliwa vichwa na shingo etc na maneno ya vichekesho kadhaa na wale madada, hata kama haujawalala lakini unaondoka umeshaacha tone la uchovu wa akili na mwili. hata hivyo, ni oyo, usifanye nao mapenzi usijekuja hapa uanze kutuuliza mtu apime mara ngapi ili kujithibitishia hajaathirika. wenzio tulishapima ile miezi mitatu hadi sita unashika roho mkononi..hahahahaNi rahisi zaidi kwa mwanamke kumlainisha mwanamume.kuliko mwanaume kujaribu kumpiga tindo mwanamke aliyekasirika
Unapima halafu unakimbia majibu...hahahahaaactually wengi wetu tukitoka kazini tumechoka vichwa tukisuguliwa vichwa na shingo etc na maneno ya vichekesho kadhaa na wale madada, hata kama haujawalala lakini unaondoka umeshaacha tone la uchovu wa akili na mwili. hata hivyo, ni oyo, usifanye nao mapenzi usijekuja hapa uanze kutuuliza mtu apime mara ngapi ili kujithibitishia hajaathirika. wenzio tulishapima ile miezi mitatu hadi sita unashika roho mkononi..hahahaha