Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,483
hata wakikuambia hauna, ukasubiri miezi 3 urudi, ile miezi utaona kama miaka 10. nayo ikiisha utabaki nusu huru hadi mwaka uishe na umepima hospitals karibia tatu au nne. hauamini kutokana na mapito uliyopitia kwa hao wanawake malaya.Unapima halafu unakimbia majibu...hahahahaa