Sio siri ni kweli Aisee, wakati bado naendekeza ujana niliwahi kugombana na mpenzi wangu, bahati nzuri huwa napenda kupiga stori na wazee nikiwa kazini, siku nilipogombana na mpenzi wangu siku ya pili yake kama kawaida yangu nikiwa kazini, nikaenda kukaa na mama mmoja ambae tukichukulia kiuhalisia naweza kuwa sawa na mwanawe watatu au wanne. Basi katika maongezi huyu mama akaniuliza " mbona leo hauko kama kawaida yako halafu umepooza" basi sikuwa na haja ya kumdanganya ikanibidi nimuambie ukweli kuwa nimekorofishana na mpenzi wangu, yule mama akaniambia nikisema nitafute kosa kila mmoja atajiona hana kosa kwa mwenziwe ila cha kufanya, nifanye inacyowezekana nikirudi kazini niende kwa mpenzi wangu ili nijitahidi kumweka position na kumgegeda. Basi huwezi amini nilipotoka kazini nikaenda stre8 kwa mpenzi wangu, kila nikimuomba msamaha akawa hataki. Basi nikajaribu kumvizia maeneo yake ya ashki, nilipoyapata sijufanya kosa nilifanya kama vile funguo ya gari inavyofanywa kwenye kuwasha gari na baada ya muda nikamgegeda kama vi3. Baada ya kumaliza na ugomvi ukaishia hapo. Blve me its true.[/QUOTE
Hayo ndio maujanja ya wahenga mkuu,hayajawahi kupitwa na wakati, hongera sana