Kufanya mapenzi ni kumaliza ugomvi

Kufanya mapenzi ni kumaliza ugomvi

Kwa upande wa pili 'night doze ' huwa inakimbiliwa sana ifanyike ili kupunguza hasira za mwanaume. ..wao wanaamini ukishapanda mlima na kuteremka amani iloyotoweka huwa imerejea.
 
Haya na sisi wanawake tupe mbinu ya kumaliza ugomvi
Nyie wanawake kumaliza ugomvi tumia mbinu za wahenga tu. Kua mpole, mfate jamaa kama kasimama au amekaa piga magoti kwa kunyenyekea kwa dhati hata kama hujawahi fanya hivyo before jilazimishe, then confess makosa yako. Hapo kidume lazima kilainike na mtayamaliza kimahaba. ANGALIZO: Kwa m,akosa ya kufumaniwa au kuhisiwa kuchepuka njia hii haifanyi kazi!
 
Njia moja ambayo nikiharibu huwa naanza nayo....
Nachunguza ni kitu gani wife anataka nikirudi misere yangu natanguliza mwanzo kuliko lolote.
Hapo ntaanza kuona tabasam kwa mbaali linaanza kuja lenyewe.
 
Njia moja ambayo nikiharibu huwa naanza nayo....
Nachunguza ni kitu gani wife anataka nikirudi misere yangu natanguliza mwanzo kuliko lolote.
Hapo ntaanza kuona tabasam kwa mbaali linaanza kuja lenyewe.
Inawezekana njia hiyo ikafaa kwa wife wako, ni exceptional, lakini ya kumgegeda ni universal na hata hiyo yakwako siku iki fail jaribu hii ya universal
 
Basi uswazi wanayapondea maua eti apelekewe nyuki, inapokelewa pesa tu.......nyie wa hivo sijui ndio wengi au wachache?
siku hizi wameshaacha baada ya enzi ya magu kuanza 2015 maana ndio walewale waliokuwa wakisema laki si pesa, leo hata sh.100 wanaiheshimu mno sembuse mauaaaa
 
Maua yananyauka na pesa pesa ni makaratasi tu, dawa ni kuzidisha upendo tu ndio kila kitu, amani, furaha na mafanikio vitawafuatia
Kwa sisi wahenga kuna mwimbo wa zamani wa sikinde uliimbwa na Cosmas Chidumule unaitwa ;Usitumie Pesa Kama fimbo' kuna maneno yanasema 'mambo yamapenzi yanataka kwanza makubaliano hapo ndipo pesa hua na thamani'
 
Back
Top Bottom