Iramusm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 509
- 314
Miezi michache ilopita kuna jamaa mmoja alikuwa anatuhadithia kuwa alikuwa Coco Beach na "kiburudisho " chake, baadaye wakajisikia " wadudu wananyenvua nyenvua", wakaamua kumalizana katika gari; ilikuwa usiku..wakati wanaendelea wakatokea polisi..wakaanza kugonga dirisha kwa nguvu..jamaa akaona msala akawasha gari na kutoka mbio..lakini polisi wakaanza kumkimbiza umbali mrefu tu ingawa baadaye alifanikiwa kuwaacha.
Jana sasa kitu kama hicho kimenitokesa mwenyewe maeneo ya Kitunda, jamaa mmoja akagonga sana gari, baadae nkaamua kuondoa jamaa akanifukuzia umbali mrefu sana...Sasa najiuliza, hivi je sheria za nchi yetu zinasemaje kuhusu hili? Ruksa au sio ruksa?