Kufanya kazi shule za private za kanisa yataka moyo

darasani

Senior Member
Dec 13, 2016
158
46
Ndugu zangu habari, sijui ni kwa nini lakini naomba niwape huu uzi kwa ufupi.

Ni muda mfupi nimetoka kuongea na mmoja ya walimu wakongwe wa Nyegina Secondary, amenipa taarifa iliyobadili hisia zangu ghafla.

Iko hiviii, walimu 5 wameachishwa kazi. Sababu ni kwamba hawa walimu hawajui kufundisha... Hivi inawezekana leo mwalimu aliyefundisha kuanzia mwaka 1997 hajui kufundisha?

Naomba niishie hapa lakini uongozi mpya wa ndugu Padre Luvakubandi naomba utafakari upya suala hili na uwape walimu hapo mikataba waendelee kufundisha Nyegina.

Na hapo hapo uongozi eti unawataka wakabidhi nyumba kabla ya tarehe 4 mwezi January.
 
Tunaomba mawili mosi wanafunzi wanamuonaje ufundishaji wake ? Wateja wake ni wanafunzi wanamuonaje ufundishaji wake? Iwe shule ya kanisa au private au ya serikali

Pili tunaomba matokeo ya mitihani ya somo.analofundisha mtihani wa taifa
 
Mwalimu hupimwa na wanafunzi ufundishaji wake na matokeo mtihani wa taifa wa somo lake shule iwe binafsi,ya kanisa au ya serikali

Mwalimu hapimwi kwa miaka ya kufundisha!!!
Nimeuliza iko wapi? Umeniqoute kimakosa
 
Nimeuliza iko wapi? Umeniqoute kimakosa
Sijali wapi mtu huyo.mwalimu yupo mwalimu kipimo.chake ni wanafunzi kumwelewa na matokeo ya mtihani wa taifa

Kigezo cha kumpima mwalimu sio miaka kafundisha au mavyeti aliyonayo au uzima au ulemavu alionao

Mtu kaajiriwa kufundisha sio kuonyesha ulemavu wa viungo alionao awe serikalini, private ,shule ya kanisa au mkoa au wilaya yoyote.Wapi sio issue popote alipo hivyo ndio vigezo
 
Back
Top Bottom