darasani
Senior Member
- Dec 13, 2016
- 158
- 46
Ndugu zangu habari, sijui ni kwa nini lakini naomba niwape huu uzi kwa ufupi.
Ni muda mfupi nimetoka kuongea na mmoja ya walimu wakongwe wa Nyegina Secondary, amenipa taarifa iliyobadili hisia zangu ghafla.
Iko hiviii, walimu 5 wameachishwa kazi. Sababu ni kwamba hawa walimu hawajui kufundisha... Hivi inawezekana leo mwalimu aliyefundisha kuanzia mwaka 1997 hajui kufundisha?
Naomba niishie hapa lakini uongozi mpya wa ndugu Padre Luvakubandi naomba utafakari upya suala hili na uwape walimu hapo mikataba waendelee kufundisha Nyegina.
Na hapo hapo uongozi eti unawataka wakabidhi nyumba kabla ya tarehe 4 mwezi January.