Kufanya kazi mkoani Mbeya

Kufanya kazi mkoani Mbeya

Kwa muda niliokuwa nikienda huko kikazi nilitokea kupapenda sana, hasa upatikanaji wa vyakula na hali ya utulivu.
 
Mjinga mwenyewe. Sasa kama una option ya kubaki dar na kwenda mkoani na muajiri anakupa muda uchague ni vibaya kuuliza. Usiforce watu wafanane dyadya kama katika maisha hukupata hiyo bahati ya kuchagua kazi usione wenzio wapuuzi. Watu wengine mpoje yani maneno yanawatokaa kama nini. Hadi huruma haha.
Haka kadada kajinga sana. Kanachagua kazi. Ovyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko.

Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya kuna maisha mazuri marahisi kuliko Dar, tatizo la vijana mnadanganyana sana, ukija nitafute nikutembeze
 
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko.

Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeolewa mdada..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakudanganya sana tu,,karibu mbeya!! Nyumba zipo za kutosha ambapo nyumba ya bei kubwa sana ni laki mbili, kuhusu maisha huku maisha ni mzuri kwa sababu aina zote za vyakula mbeya ndio kwenyewe, hata ukiwa na jelo tu utakula kupitisha siku!

Ubaya wa huku labda baridi tu na mvua mvua ambapo kwa kipindi hiki ni janga la kote!! Kama umepangiwa mbeya mjini karibu sana naweza kuwa mwenyeji wako ukipendezewa.
Karibu mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu nzuri ya kuanzia maisha kama mbeya
 
wewe ndio wale KAMLETE hua hamjui machungu ya kutafuta kazi.
 
Umepata kazi Mbeya then unauliza mzunguko wa hela au unakuja Fanya Biashara? utamu wa Mbeya buku 5 unakula na unalala guest na demu unapata ukitaka
 
Well said, Mengineyo ya zaidi karibu sana mbeya. Nilipohamishiwa mbeya niliona kama nimekuwa demoted kumbe ni kama nimesave sana matumizi yangu ya pesa. Nina mwaka nimenunua viwanja viwili, mwezi wa sita nataka nijenge walau chumba na sebule. nihame nilipopanga (bila shaka nitakuwa nimekupa picha fulani kuhusu mbeya hasa ya kiuchumi)

Karibu sana wasikutishe hao ambao hata mbeya hawakujui.
Jikinge na ukimwi tuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko.

Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Usalama gani unaomaanisha?. Mzunguko wa hela,sawa hauwezi kuwa sawa na dar. Lakini katika huo mzunguko dar ukikaa tu bila kujishughurisha hela zinakuja zenyewe?. Hakuna mahala jijini Kama mbeya ambapo mtu ukajishughurisha usipate hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna sehemu nzuri ya kuishi tanzania hii kama mbeya mazingira safi maisha mswano watu wakarimu karibu sana mbeya ndo homeeeeee

Back
Top Bottom