Kufanya kazi mkoani Mbeya

Kufanya kazi mkoani Mbeya

Njoo ntakupokea, nyumba pia unaweza kuishi kwangu kwa kuanzia kabla hujapata sehemu yako. Mbeya pako sawa na maisha sio gharama sana, sema nimeoa pia.
 
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko. Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaenda kuliwa kimasihara na wanyakusa kutokea tukuyu
 
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko. Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unapenda kuajiriwa na kulipwa mshahara unahofia mzunguko?au unamaanisha rushwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga mwenyewe. Huwezi elekeza mtu bila maneno ya kashfa. Kama nina options nyingine ni vibaya kuuliza ili nijue wapi pa kwenda? Au unadhani kila mtu ana option moja kwenye maisha kama wewe. Nyie wazee mnaosema sisi vijana wa siku hizi wajinga enzi zenu ndo mlikuaga mazero brain cause mnashindwa kuelewa nyakati zimebadilka.

Sent using Jamii Forums mobile app
ubaki huko huko dar una matusi sana
 
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko. Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa vile wewe ni mwanaume wa Daslama utapata tabu sana

Sent using IPhone X
 
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko. Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama si mfuasi wa Chadema usiende huko, tuendelee kubanana hapa
 
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko. Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiache bahati hiyo. Mby ni mji ambao ni simple kuishi hasa kama ni mtu wa budget na pia overall papo vizuri japo vidosari vidogovidogo unaweza kutana nazo japo ni kawaida tu.
 
Anashangaza eti kukulia Dar ndiyo asiende Mbeya, aache kwenda aone kesho yake watu 500 wanaitaka hiyo kazi, sijui angekuwa London au Paris ingekuwaje
Ndiyo maana tunasema vijana wa sikuhizi ni WAJINGA-WAJINGA wasio na vichwa wala mkia,
Uwoga wa maisha unawafanya watu wengi kushindwa kutoka DAR na kwenda mikoani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepmisi sana Mbeya.
Best place ever, you supposed to go and work there.
 
Mjinga mwenyewe. Huwezi elekeza mtu bila maneno ya kashfa. Kama nina options nyingine ni vibaya kuuliza ili nijue wapi pa kwenda? Au unadhani kila mtu ana option moja kwenye maisha kama wewe. Nyie wazee mnaosema sisi vijana wa siku hizi wajinga enzi zenu ndo mlikuaga mazero brain cause mnashindwa kuelewa nyakati zimebadilka.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa haya matusi,mbeya utapaweza kweli?utaishia kurogwa bure..
 
Ni kweli maisha hatufanani mpendwa, na kwenye hii dunia inabidi tukubali hilo. Yani hatuwezi kuforce usawa hapa duniani, leo mimi niliepata kazi mbeya na dar napata shida kuchagua wapi pa kufanya kazi while kuna mtu anachagua akafanye kazi Spain au Germany anauliza pia aende nchi gani. That's life. It is what it is

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbeya wanapigana nondo za kichwa ili nondo uliyoigwa nayo damu ikatoka wakauzie nyama bucha.

At your own risk.
 
Wewe stress zako za maisha katolee zinapohusika. Kuna sehemu nimesema sitaki kwenda mbeya. Nyie ndo katika maisha ya kawaida ndo watu mnaoitwa wenye husuda. Afu kinachosikitisha mnaonesha hii tabia humu jamii forums wengi ni wanaume. So sad

Back
Top Bottom