Nimemuona anamadharau. Kwa madharau yake mbeya hapamfai atapata shida sana kuishi na hawa watu wakijipandisha sanakwa haya matusi,mbeya utapaweza kweli?utaishia kurogwa bure..
Nimemuona anamadharau. Kwa madharau yake mbeya hapamfai atapata shida sana kuishi na hawa watu wakijipandisha sanakwa haya matusi,mbeya utapaweza kweli?utaishia kurogwa bure..
kwa haya matusi,mbeya utapaweza kweli?utaishia kurogwa bure..
Nimemuona anamadharau. Kwa madharau yake mbeya hapamfai atapata shida sana kuishi na hawa watu wakijipandisha sana
ukifika Mbeya usiache kunitafuta nikuoneshe mitaa....
ukifika Mbeya usiache kunitafuta nikuoneshe mitaa....
karibu sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye maisha hakuna kitu kizuri kama kupata exposure na kwa vile wewe ushaishi dar ni vyema uende mwenyewe ukajionee uhalisia wa maisha sehemu nyingine, Huku kila mtu atakushauri kulingana na mtazamo wake. Ushauri wangu we nenda maisha nipopoteNi kweli maisha hatufanani mpendwa, na kwenye hii dunia inabidi tukubali hilo. Yani hatuwezi kuforce usawa hapa duniani, leo mimi niliepata kazi mbeya na dar napata shida kuchagua wapi pa kufanya kazi while kuna mtu anachagua akafanye kazi Spain au Germany anauliza pia aende nchi gani. That's life. It is what it is
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe jirani yangu kabisa
Nimekuelewa kwa point yako, Mwajiri si ndugu, anytime yanabadilikaKwahiyo wewe ukiajiriwa huwa hujiongezi hata kufanya kabiashara ka pembeni ka kuongeza hela ya mboga? Mimi siwezi, hata kama nina ajira nauza hata hereni. Mwajiri si ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapuuzi sana haka kabintiAnashangaza eti kukulia Dar ndiyo asiende Mbeya, aache kwenda aone kesho yake watu 500 wanaitaka hiyo kazi, sijui angekuwa London au Paris ingekuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app