Kufanya kazi mkoani Mbeya

Kufanya kazi mkoani Mbeya

Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko.

Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
We acha woga maisha popote niga popote tunatimba tunasakaga mapeme

Niga from Timbuktu
 
Nenda mwaya ni pazuri sana hewa safi si kama Dar huko hewa ya kuviziana, usalama upo wa kutosha stories za watu zisikutishe.

Misosi ndyo mpaka utasaza bei chee, ila kama umepata kijijini duh, kama Kule kijijini kwetu ni balaa, nyama nk zinapatikana msimu wa sikukuu pekee mfano Saba Saba,ila siku za kawaida ni mpaka ufunge safari kufata mabucha yalipo nauli buku 3 or 4 bodaboda, so tunatumia vegetables kwa wingi.

Na mzunguko wa fedha kiukweli siyo mkubwa kihivyo ukilinganisha na Dar, sababu vitu cheap hasa upande wa vyakula coz wenyeji ni wakulima so vitu vingi wanatoa shambani kwao, so usitegemee utafungua genge mfano mboga na matunda utegemee utauza sanaa.

Hela yako haitotumika sana so unaweza save for future plans. Karibuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni wote mnaonielekeza na kunijibu bila kejeli au kunishushua. Mbarikiwe sana, nashukuru. Inabidi tu niende Mbeya mmenipa moyo. Ngoja nikaanze maisha mapya. Thanks alot watanzania wenzangu wenye upendo na ustaarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nimekulia mby si pahala pabaya ni pazuri watu wake ni wachangamfu am sure utapapenda kila la kheri
 
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko.

Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
karibu karibu mbeya...huu mkoa wkt napangiwa kwa mara ya kwanza 2015 nilichukia sana..ila baada ya kuja aisee...sijutii kwa Kweli..maisha ni simle..km ni mfanyakazi ku SAVE hela ni uhakika km huna mambo mengi..sasa hv wenzangu waliopangiwa DSM wananionea WIVU tu wakija kunitembelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana my dear. Ubarikiwe
Nenda mwaya ni pazuri sana hewa safi si kama Dar huko hewa ya kuviziana, usalama upo wa kutosha stories za watu zisikutishe.

Misosi ndyo mpaka utasaza bei chee, ila kama umepata kijijini duh, kama Kule kijijini kwetu ni balaa, nyama nk zinapatikana msimu wa sikukuu pekee mfano Saba Saba,ila siku za kawaida ni mpaka ufunge safari kufata mabucha yalipo nauli buku 3 or 4 bodaboda, so tunatumia vegetables kwa wingi.

Na mzunguko wa fedha kiukweli siyo mkubwa kihivyo ukilinganisha na Dar, sababu vitu cheap hasa upande wa vyakula coz wenyeji ni wakulima so vitu vingi wanatoa shambani kwao, so usitegemee utafungua genge mfano mboga na matunda utegemee utauza sanaa.

Hela yako haitotumika sana so unaweza save for future plans. Karibuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe mpuuzi sana, sijui umepataje hiyo ajira. Hizo pesa zinazozunguka hapa Dar zinazunguka mifukoni mwako au waziona juu tu zikipita? Kama kuna mzunguko mkubwa mbona umeenda kuomba ajira? Acha kazi, wachukue wenye uhitaji.
Fustration za umasikini wako usimrushie mwingine.

Yupo comfortable na maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbeya utaambulia kupigwa nondo au kulogwa, jiji gan ikifika saa 2 usiku watu wote wamejifungia ndani mjini hakuna mtu, Mbeya sio mji wa kuishi , uchawi kila kona, vibaka kila kona, bora ubaki dar uuze mchicha.
Itakua ulikuja mbeya na vindagu vyako ukakutana na wakinga wakakunyosha. Mbeya unakaa iziwa au ghana unategemea sa2 wawe macho. We ulikuja mbeya kwa shemeji yako iganzo uko alikoolewa dada yako. Mbeya hakuna kulala kuanzia carnivore citypub soweto mbeya pazuri kote watu hawalali
 
Hivi kwanza hiyo kazi ni kazi gani unayopewa uchague Mbeya au Dar? Nimesoma post zako humu ndilo swali la kwanza nililojiuliza - utakuwa unafanya kazi gani kwa profiling niliyokufanya. Tayari nina picha fulani.
Msimamizi wa mabamedi wanaitwa matron. Kwa mdomo wake ulivyomchafu lazima ni matron wa bar kama sio barmed
 
Itakua ulikuja mbeya na vindagu vyako ukakutana na wakinga wakakunyosha. Mbeya unakaa iziwa au ghana unategemea sa2 wawe macho. We ulikuja mbeya kwa shemeji yako iganzo uko alikoolewa dada yako. Mbeya hakuna kulala kuanzia carnivore citypub soweto mbeya pazuri kote watu hawalali
Mbeya nzima sehemu za kula bata 3 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom