Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,708
- 51,121
Kumbe ulikuwaga hujawahi kufika Arusha? Umri wote huu?Kwema jamani
Jana na leo niko viunga vya jiji la Arusha,Yule aliyeubatiza huu mji Geneva of Africa atafutwe,akamatwe,achapwe bakora 13,ANYONGWE!....THE CITY IS OVERLY HYPED.....samahani washkaji zangu wooote wa A- town mkiongozwa na big Glenn .
Wakatabahu
Jo.
Samahani mkuu, ikikupendeza nikutembeze Geneva yenyewe, huyo mwenyeji katuharibia sanaKwema jamani
Jana na leo niko viunga vya jiji la Arusha,Yule aliyeubatiza huu mji Geneva of Africa atafutwe,akamatwe,achapwe bakora 13,ANYONGWE!....THE CITY IS OVERLY HYPED.....samahani washkaji zangu wooote wa A- town mkiongozwa na big Glenn .
Wakatabahu
Jo.
Arusha Jiji vs dsm Jiji right?Arusha kawaida sana ni kama ni wilaya moja ya Temeke ,tena TEMEKE kuna vibes sana.
Sijui ume angalia vigezo gani?Kwema jamani
Jana na leo niko viunga vya jiji la Arusha,Yule aliyeubatiza huu mji Geneva of Africa atafutwe,akamatwe,achapwe bakora 13,ANYONGWE!....THE CITY IS OVERLY HYPED samahani washkaji zangu wooote wa A- town mkiongozwa na big Glenn .
Wakatabahu
Jo.
Siri ya kambi...., mtu umefikia morombo unategemea niniMbona kanizungusha sana hadi tumemaliza mji we utanipeleka pande ipi😂