Mbuty
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 421
- 254
Nimekuwa nikiangalia specifications za simu nimekuwa nikikutana na RAM kwa kiasi najua ni Random Access Memory na si zaidi ya hapo, GHZ hii siifahamu na Internal Memory najua kama inavyojieleza. Naomba kufahamu mchango wa kila nilichokitaja kwenye perfomamce ya simu, na kuna simu huwa slow au zinastack, visababishi ni nini? Ninajaribu kuelewa termonologies hizo ili nifanye maamuzi ya kununua simu ambayo nitaitumia kwa matumizi mazuri na kwa muda angalau mrefu. Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums