hiyo kawaida,
wadada wenyewe wa kazi hawa lazima kufatilia....
Haswaaa! Afu mnawabanaga hata vijioff vya mara 1 kwa wiki, na wao wakachuje nafaka!
The result akifumaniana na faza house kona mbaya nafaka zinachujwa.
Kumbe tuko wengi eeehhhh........
Mie naona yangu ni mengi kuliko yako maana huwa nauliza
watoto anekula chakula chote ulichomuwekea, kashiba, kanywa
maji, kaoga, mpeleke akalale..............Na mengine meeengii
@
Kongosho sio kudeligate hatuwezi nafikiri unajua wasichana
wetu usipowasukuma aahhh mtoto atalala bila kula na akimuamsha
mara moja mbili haamki yeye anampeleka kitandani kulala hajali kivile......
THANK YOU MY DEAR Kaizer ni wajibu wetu, na mnavyopenda kudeka nyinyi kha! mnazidi watoto wetu!dah....hapa..:clap2:
Napenda sawa wanawake walioolewa wakajua kuwa ni wanawake ndio lakini ni wake kwanza. Kuwa mke ni zaidi ya kuwa mwanamke. Fixed Point , cacico na Kongosho big up saaana
My dear we acha tu, hata uwabebe mgongoni hawana shukurani........
Wa kwangu kila jumapili yupo huru(ingawa nahofia asidungwe mimba mtaani)
likizo namlipia nauli ya kwenda na kurudi na vijizawadi......
Mshahara kila mwezi nampa.....
Ila hawaishi vituko.... Wepesi kulaghaiwa..... Kununa nuna bila sababu...
Ndo maana nikisafiri lazima niulizie hali huku nyuma, na nikiwepo kazi karibia zote zilizoko mbele yangu nafanya, hii husaidia kidogi kucontrol, pia nini kipo sawa nini kimepinda....i? Ila sio guarantee kabisa...
Ukipata hg mzuri unashukuru
ukiweza kupata ambaye alishazaa, kaolewa akaachika tayari anajua mtoto ni nini? na anajua shida ya maisha. kwahiyo hatakuletea za kuleta sana kama hivyo vimodal ulivyo navyo, tena kabla ya kulala ni ratiba kama sipo wanasali nao! nikiwepo tunasali wote, so kukaa nao chini kuongea nao pia Fixed Point ni muhimu, kuwakumbusha wajibu wao na kusikiliza shida zao, atakwambia tu mshahara hautoshi, mwambie jirekebishe hapa na hapa, nakuahidi next month nitakuongeza, utaona atakavyobadilika, akifiwa na ndugu zake nakwenda msibani, au kama wana mgonjwa nakwenda hospitali na kapesa kidogo! basi utaona watoto wako anakaa nao vizuri, anakuthamini, coz ataona na we pia unamthamini! likizo mara mojamoja huwa namwambia walete wanao waje wacheze na twins, wanakuja mwezi mzima, wakiondoka nawafanyia kashoping, utaona anafurahi na kukuheshimu kweli!huyo dada shikamana naye. katika vitu nasisitiza nyumbani kwani ni kuhakikisha watoto wamekula vizuri, lakini ndo jambo linaenda vibaya kuliko yote, maana nina ma-miss nyumbani kwangu hawapendi kula, kupikia watoto pia hawataki
21 century moms lol
if i stay at home will u manage everything?
Napenda kuwa house wife pia.
housewife is the highest title for a woman....
kwa hiyo niache kazi
naresign kesho tu, tena 24 hrs.
BT, Umenikumbusha neno kuna tym mi nikawa najifanya nimtreat as human for 100% kumbe ndo unamharibu na ipelekee akuondoke, nilimpa na cm yangu ya zamani zile mtaani hata ka buku 20 unapata, eeebwanae mdada sasa ikawa haipiti siku 3 anadai kapigiwa toka kwao, kuna mgonjwa kuna hili kuna lile.
Mara akawa anaongea na mianaume usiku hata kwa 1hr. Nikamtimulia mbali, ukisema um'boreshe bure tu.
ha haaaaaaaaa, asiishie tu kuwa desperate2012 chaguo ni lako
chagua kuwa a better housewife
Wanachit-chat nawasalimu.
kuna hili jambo huwa linanitokea sana.
Utakuta nimesafiri, sipo nyumbani kwa siku, wiki, miezi kadhaa, lakini huwa nina tabia ya kuendesha maisha ya nyumbani kana kwamba sijaacha mtu. kila siku lazima nipige simu kuulizia/kutoa maelekezo (mmepika nini?, watoto wamekula?, jioni mtawapa nini?, kesho toa net uzifue......). sasa najiuliza hii ina maana gani? ni mimi tu au hata wamama wenzangu mnafanya hivi?
wababa wanalipokeaje? wanashukuru kuwa tunawasaidia kuendesha nyumba hata kama hatupo nyumbani au wanaona hatuwaamini?