Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Kajabila

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
538
929
Amani iwe kwenu!!

Tutumie thread hii kupendekeza wale wanaofaa kugombea 2020, Tetesi za watu watakaogombea

Mimi naanza na Dr. Tulia, Huyu dada amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule Mimi na awa wenzangu tumeapa kumpigia kampeni bure kabisa Dr Tulia Ackson Mwansansu kuwa Mbunge wa Mbeya 2020.



 
Tulia ndio nani?? Mbona wengine hapa Mbeya hatumjui....

Au ndio wale wa kupita bila kushinda??

Msituchokoze Mbeya Mjini...nadhani mnatuelewa....
 
Kwani anagombea hapo kwenu koromitdje?
 
Anacho kiweza ni hiki tu
 
Mtakua 101 against 100,000+ za Ukawa
 
Ameanza kampeni mapema mpeni kura muone km mtamuona, ila watu wa Mbeya jinsi walivyo na msimamo sidhani km atachukua Ubunge.
Asubuhi kabisa 2020 anachukua kitu huyo Sugu ajafanya chochote Mbeya Amejenga hotel yake ndo cha msingi alichokifanya
 
Na idadi itaishia hapo hamtazidi 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…