Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,234
Kuelekea uchaguzi wa TLS hapo April mwaka huu katika hali isiyo ya kawaida figisu kuhakikisha Tundu Lissu harudi madarakani zimekwishaanza ambapo kanuni zimetungwa kinyemela bila kusainiwa na Rais wa TLS Bwana Tundu Lissu huku zikiwa na vigezo tofauti na vya mwaka Jana.
Mojawapo ya vigezo ni vile vinavyotaka mgombea nafasi ya urais TLS kutokuwa mbunge wala na nafasi ya uongozi katika chama chochote cha siasa kilichosajiliwa.
Kanuni hizo zimepitishwa na wajumbe wa baraza la uongozi TLS (GC) bila Tundu Lissu kushirikishwa wala kusaini.
Hali hiyo imezua taharuki miongoni mwa wanachama wa TLS ambao wamesema hawatakubali.