Kuelekea uchaguzi wa TLS, figisu zaanza kanuni zatungwa kwa siri, mbunge kutoruhusiwa kugombea TLS

Sasa la kushangaza ni lipi.. kwanza hawezi kugombea.. alipewa cheo akawa bizi na mambo ya siasa.. hana hata moja la kukumbukiwa.. atulie tu akirudi aende jimboni kwake.. maana huko ni majanga.. na 2020 asigombee kabisa atatemwa vibaya sana. [HASHTAG]#kajitakia[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaayapesa[/HASHTAG] [HASHTAG]#hanauzalendo[/HASHTAG]
hahaha jimboni kwa January makamba hakuna hata kipande cha lami. shule ya msingi mahezangulu . msamaka nk walimu wanakaa kwenye nyumba za tembe lakini ni za serikali? kuna shule ya msamaka maji yanaanza kutoka saa saba usiku ? mbunge hana nyumba jimboni .na kibaya zaidi hata halmashaur kanyang'anywq ipo kwehangala badqla ya bumbuli? na huyu nae asigombee 2020.
una akili ndogo sana mwanadada? kama wema alikutwa na misokoto kadhaa ya bhangi na bado anatetewa na msando wewe pia hatukushangai inawezekana upo na tabia kama za wema
 
View attachment 709454View attachment 709456View attachment 709457

Kuelekea uchaguzi wa TLS hapo April mwaka huu katika hali isiyo ya kawaida figisu kuhakikisha Tundu Lissu harudi madarakani zimekwishaanza ambapo kanuni zimetungwa kinyemela bila kusainiwa na Rais wa TLS Bwana Tundu Lissu huku zikiwa na vigezo tofauti na vya mwaka Jana.

Mojawapo ya vigezo ni vile vinavyotaka mgombea nafasi ya urais TLS kutokuwa mbunge wala na nafasi ya uongozi katika chama chochote cha siasa kilichosajiliwa.

Kanuni hizo zimepitishwa na wajumbe wa baraza la uongozi TLS (GC) bila Tundu Lissu kushirikishwa wala kusaini.

Hali hiyo imezua taharuki miongoni mwa wanachama wa TLS ambao wamesema hawatakubali.
Mwembesi,

Hizi kanuni nimezipenda TLS haiwezi kuwa chombo huru au chenye ufanisi kama kikiongozwa na wanasiasa au watumishi wa umma waandamizi.

Hebu fikiria tu kwa uchache Prof. Kabudi waziri wa sheria, ni wakili, Prof. Mwakyembe waziri wa michezo naye ni wakili, Mwanasheria Mkuu Dr. Kilangi naye ni wakili...wapo wengi.. sijui DPP etc....
Sasa ikitokea Mwakyembe au Kabudi wakagombea urais wa TLS unaona ni sawa???

Na Mungu aepushie mbali, siku tukipata rais wa nchi mwanasheria kama ilivokuwa kwa Obama, na akaamua kuwa Rais wa TLS hali itakuwaje?

Leo Prof. Mchome, katibu mkuu wizara ya sheria akiwa Rais wa TLS hali itakuwaje?

Ninawaza na kuwazua...hata hamu sina.

Nadhani kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi TLS imeanza kufuata njia sahihi...hebu fikiria eti hata kanuni za uchaguzi walikuwa hawana...afu ndio wanasheria wetu. Nimeshangaa sana.
 
Sasa la kushangaza ni lipi.. kwanza hawezi kugombea.. alipewa cheo akawa bizi na mambo ya siasa.. hana hata moja la kukumbukiwa.. atulie tu akirudi aende jimboni kwake.. maana huko ni majanga.. na 2020 asigombee kabisa atatemwa vibaya sana. [HASHTAG]#kajitakia[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaayapesa[/HASHTAG] [HASHTAG]#hanauzalendo[/HASHTAG]
Kupitia Lissu,uhai/uwepo wa hiyo taasisi ndo umejulikana.miaka ya nyuma nobody cares...
 
Ukweli ni kwamba Mwenyekiti wa TLS anapokuwa anahold a public office na inapotokea conflict of interest inakuwaje??? Mfano mzuri ni wa kina Bi Kidjo, inafika mahala wanashindwa kuficha hisia zao za kisiasa na matokeo yake ni hata chombo wanachokiongoza kina poteza credibility.
 
Sasa la kushangaza ni lipi.. kwanza hawezi kugombea.. alipewa cheo akawa bizi na mambo ya siasa.. hana hata moja la kukumbukiwa.. atulie tu akirudi aende jimboni kwake.. maana huko ni majanga.. na 2020 asigombee kabisa atatemwa vibaya sana. [HASHTAG]#kajitakia[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaayapesa[/HASHTAG] [HASHTAG]#hanauzalendo[/HASHTAG]
Akili za lumumba ndio umeishia kufikiri, pole sana.
 
Hatari gani? TLS ni chama cha kitaaluma (professinal) kama vilivyo vyama vingine vya kitaaluma nchini kwetu hususani Chama cha Madaktari Tanzania (MAT). Huwezi ukawa waziri wa afya halafu ukawa pia ni raisi wa chama cha madaktari! Kutakuwa na conflicting interests. Vivyo hivyo kwa mbunge au kiongozi kwenye chama cha siasa. Na sheria inayosimamia vyama hivi ilishafanyiwa au iko mbioni kufanyiwa marekebisho kukidhi matakwa haya.
Ila mtu anaweza kuwa mkiti wa chama na hapo hapo kuwa na nafasi kubwa serikalini si ndiyo?
 
Sasa la kushangaza ni lipi.. kwanza hawezi kugombea.. alipewa cheo akawa bizi na mambo ya siasa.. hana hata moja la kukumbukiwa.. atulie tu akirudi aende jimboni kwake.. maana huko ni majanga.. na 2020 asigombee kabisa atatemwa vibaya sana. [HASHTAG]#kajitakia[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaayapesa[/HASHTAG] [HASHTAG]#hanauzalendo[/HASHTAG]
Coco nilisikia unauza mwananyamala, tuje na ngapi?
 
Sasa la kushangaza ni lipi.. kwanza hawezi kugombea.. alipewa cheo akawa bizi na mambo ya siasa.. hana hata moja la kukumbukiwa.. atulie tu akirudi aende jimboni kwake.. maana huko ni majanga.. na 2020 asigombee kabisa atatemwa vibaya sana. [HASHTAG]#kajitakia[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaayapesa[/HASHTAG] [HASHTAG]#hanauzalendo[/HASHTAG]
Rudi chooni ukajisafishe..
Unanuka.
 
Wanaruka mkojo wanakanyaga ....! Natoa fedha kumchukulia Fatma Karume Form za Urais wa TLS, hakuna wa Kutupangia welfare zetu! Chama Ni Chetu, tunakiendesha kwa Ada zetu!
 
Ila mtu anaweza kuwa mkiti wa chama na hapo hapo kuwa na nafasi kubwa serikalini si ndiyo?
Lengo kuu la chama cha siasa ni kuchukua nafasi kubwa serikalini pamoja na dola. Malengo ya vyama vya kitaaluma siyo hayo.
 
Yaani hizi sheria zinazotungwa mahususi kwa ajili ya mtu fulani zinaniacha hoi, ni uoga uluopitiliza, yaani mnamwogopa mtu hadi mnamtungia sheria yake @

Vv
Halafu wanajiita wasomi. Pumbafu sana.
Unamtungia mtu mmoja sheria?
 
Ndio kusema Lissu anataka kutuambia kwamba inawezekana akawa amesainishwa akiwa mgonjwa hajielewi? Manake ameulizwa kama anayafahamu haya akajibu hapana sina utambuzi kwamba nimeyasaini haya. Nilitegemea Lissu, of all the people, angekuwa more categorical, amesaini au hakusaini.
dish limeanza kupoteza channel kichwani kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom