tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 21,802
- 18,225
Kwani Lissu sio advocate? Sio member wa TLS?Wako sawa, wanasiasa Hawafai Kuwa viongozi wa hii taasisi ,wanaivuruga, Lissu aamue moja, kusuka au kunyoa
Kwani Lissu sio advocate? Sio member wa TLS?Wako sawa, wanasiasa Hawafai Kuwa viongozi wa hii taasisi ,wanaivuruga, Lissu aamue moja, kusuka au kunyoa
Shida ni kwamba anaye lengwa ni Lisu, nafasi hiyo ingekuwa inashikiliwa na mwana ccm haya yote tusinge yasikia!!!Hatari gani? TLS ni chama cha kitaaluma (professinal) kama vilivyo vyama vingine vya kitaaluma nchini kwetu hususani Chama cha Madaktari Tanzania (MAT). Huwezi ukawa waziri wa afya halafu ukawa pia ni raisi wa chama cha madaktari! Kutakuwa na conflicting interests. Vivyo hivyo kwa mbunge au kiongozi kwenye chama cha siasa. Na sheria inayosimamia vyama hivi ilishafanyiwa au iko mbioni kufanyiwa marekebisho kukidhi matakwa haya.
Bibi tukinaooo skamoooooAcha wivu
Akili naona unajitahidi kuzisaka hazikujiiii..
Tulia ulipo..
Mbona msajili wa vyama, wakurugenzi, mkurugenzi wa nec ni makada wa vyama, au hao sio wanasiasaWako sawa, wanasiasa Hawafai Kuwa viongozi wa hii taasisi ,wanaivuruga, Lissu aamue moja, kusuka au kunyoa
Unategenea atasema nini, viongozi wetu wamejaa woga, fikiria mahakamani zikipelekwa hoja za kuwashtaki wao, mahakimubwanakuwa waoga kupokea hizo kesi, wanajua watapigwa chini na anayewaremote atawashughulikiaMbona Uyo anayejiita Nguli wa Sheria Palamagamba anajambishwa jambishwa na John Pombe?????
Nashangaa sana na kwanini wanaomba agombee tena na hayupoWe ni advocate hadi useme hajafanya mambo kwenye Chama?
Anzeni na nec kwanza mumejaza makada waliopigwa chini kwenye kura za maoniHatari gani? TLS ni chama cha kitaaluma (professinal) kama vilivyo vyama vingine vya kitaaluma nchini kwetu hususani Chama cha Madaktari Tanzania (MAT). Huwezi ukawa waziri wa afya halafu ukawa pia ni raisi wa chama cha madaktari! Kutakuwa na conflicting interests. Vivyo hivyo kwa mbunge au kiongozi kwenye chama cha siasa. Na sheria inayosimamia vyama hivi ilishafanyiwa au iko mbioni kufanyiwa marekebisho kukidhi matakwa haya.
Kumbuka Sheria ni taluma yake na Ubunge ni kuwatumikia wananchiHatari gani? TLS ni chama cha kitaaluma (professinal) kama vilivyo vyama vingine vya kitaaluma nchini kwetu hususani Chama cha Madaktari Tanzania (MAT). Huwezi ukawa waziri wa afya halafu ukawa pia ni raisi wa chama cha madaktari! Kutakuwa na conflicting interests. Vivyo hivyo kwa mbunge au kiongozi kwenye chama cha siasa. Na sheria inayosimamia vyama hivi ilishafanyiwa au iko mbioni kufanyiwa marekebisho kukidhi matakwa haya.
Si utaje ambacho hajafanya kumbuka Jengo lao lililokuwa limesimama kujengwa miaka mingi sasa ujenzi unaendelea na maslahi mengi ambayo Mawakili walikuwa hawapati baada. ya kuingia pale na kubadilisha sheria kandamizi. Utasemaje hajafanya lolote tusipindishe ukweli kuwa uongo kisa kwa kuwa ni mpinzani akifanya vizuri ni aibu kwetu ccm kama ni aibu tayari inaonekana kwani tumebaki na kazi ya kupambana upinzani badala kudili na maendeleo ya wananchi.Hajafanya lolote..
Lissu anatisha sana, sheria zinatungwa kwa ajili ya kumuhofia yeye!Sasa la kushangaza ni lipi.. kwanza hawezi kugombea.. alipewa cheo akawa bizi na mambo ya siasa.. hana hata moja la kukumbukiwa.. atulie tu akirudi aende jimboni kwake.. maana huko ni majanga.. na 2020 asigombee kabisa atatemwa vibaya sana. [HASHTAG]#kajitakia[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaayapesa[/HASHTAG] [HASHTAG]#hanauzalendo[/HASHTAG]
Sasa kama hajafanya kitu si acheni wanachama waamue kwa kura, hofu ya nini mapema....!!!!Sasa la kushangaza ni lipi.. kwanza hawezi kugombea.. alipewa cheo akawa bizi na mambo ya siasa.. hana hata moja la kukumbukiwa.. atulie tu akirudi aende jimboni kwake.. maana huko ni majanga.. na 2020 asigombee kabisa atatemwa vibaya sana. [HASHTAG]#kajitakia[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaayapesa[/HASHTAG] [HASHTAG]#hanauzalendo[/HASHTAG]
Fafanua zaidi hujaeleweka na mfano wa waziri haufai...fafanua kama mbunge anakuwa na conflict ipi.....Hatari gani? TLS ni chama cha kitaaluma (professinal) kama vilivyo vyama vingine vya kitaaluma nchini kwetu hususani Chama cha Madaktari Tanzania (MAT). Huwezi ukawa waziri wa afya halafu ukawa pia ni raisi wa chama cha madaktari! Kutakuwa na conflicting interests. Vivyo hivyo kwa mbunge au kiongozi kwenye chama cha siasa. Na sheria inayosimamia vyama hivi ilishafanyiwa au iko mbioni kufanyiwa marekebisho kukidhi matakwa haya.
yani mtu yupo hospital kisha utake afanye lolote kweli? unazidiwa akili hata na wema sepetu au BASHITE wewe?Hajafanya lolote..
wewe ni limbukeni wa kupindukia! unavijua vyama vingapi ? utasema chama cha walimu wanajitambua ? utasema chama cha ma dr wanajitambua? utasema chama cha wafuga nyuki wanajitambua? kuwa mwerevu kidogo? kama profesional association zinajitambua kungekuwa na migomo isiyoisha hapa? yani mtu anaahidi nyongeza ya mishahara may mosi halafu haongezi kitu na watu wapo kimya tuuuu unasema wanajitambua hao? mkuu wa wilaya anafukuza walimu unasema wanajitambua? kila siku wanaambiwa wanauza dawa za serikali wakati dawa hakuna na hawasemi kitu kama wana taalumuma?Chama pekee kisijojua proffession ni kitu gani ni TLS pekee wengine wote wanajitambua.Iwe bodi ya mainjinia,wahasibu,wagavi,madaktari,wafarmasia,geologist nk TLS wamesoma ila hawajaelimika hawajui mtu anayetakiwa kuongoza TLS aweje,Hizi kanuni mpya naziona nzuri zinawarudisha kwenye proffessionalism