Kuelekea siku ishirini kabla ya laini kufungiwa changamoto hizi kama zipo laini hazitafungiwa

Kiukweli uhamiaji sijui inatuchukuliaje watu wa kigoma yaani kitendo cha kusema wewe ni mtu wa kigoma basi utahojiwa maswali mengi sana na pia utaambiwa kalete copy ya kitambulisho cha mzazi.
Kiukweli wamenikera sana maana wamenihoji kama mtuhumiwa vile.
 
k2206, Hiyo ni kwa line za Airtel na Tigo pekee ndo majina yanaweza kubadilika kama ulisajili kwa majina mengine au kwa kutumia kitambulisho cha mtu mwingine.... Lakini kwa mtandao wa vodacom lazima usajili kwa kitambulisho husika na taarifa zako za mwanzo laima ziendane na taarifa utakazotoa unaposajili kwa alama za vidole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kwa line za Airtel na Tigo pekee ndo majina yanaweza kubadilika kama ulisajili kwa majina mengine au kwa kutumia kitambulisho cha mtu mwingine.... Lakini kwa mtandao wa vodacom lazima usajili kwa kitambulisho husika na taarifa zako za mwanzo laima ziendane na taarifa utakazotoa unaposajili kwa alama za vidole.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo raia wengi tutakapofeli
 
La kuongezea je raia wa kigeni siku laini zimezimwa na wamengia tanzania utaratibu upoje??
 
Hiyo ni kwa line za Airtel na Tigo pekee ndo majina yanaweza kubadilika kama ulisajili kwa majina mengine au kwa kutumia kitambulisho cha mtu mwingine.... Lakini kwa mtandao wa vodacom lazima usajili kwa kitambulisho husika na taarifa zako za mwanzo laima ziendane na taarifa utakazotoa unaposajili kwa alama za vidole.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa vodacom naona wamefeli sana kwa hili suala ni bora wangeruhusu kama mitandao mengine ilivyo Fanya hata kama mwanzo ulisajili kwa jina lingine basi kwa usajili huu mpya ukubali lakini wao hiyo hakuna hii inapelekea watu wengi kubadili namba bila umuhimu wowote ni vyema wangeeanda hata utaratibu mwingine

Voda ni sikio la kufa mchakato wao watu watahamia mitandao mingine bila wao kujua
Mambo ni mengi sana ila muda mchache mno
 
Majibu kwa swali la Tatu.
Ukisajili laini kwa alama za vidole, majina yote yaliyopo kwenye kitambulisho cha taifa ndio yatakayosomeka kwenye laini yako.
Kwa hiyo kama mtu mwanzoni majina yake yalikosewa wakati anasajili laini yake kwa mfumo Wa zamani, hayo majina yatabadilika na kusomeka yaliyopo kwenye kitambulisho cha taifa endapo atasajili laini yake kwa mfumo wa alama za vidole.

Pia kama taarifa za majina yake kwenye kitambulisho cha taifa zilikosewa, zitasomeka hivyo hivyo akisajili laini yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief.
Mimi laini yangu ya Vodacom nilienda kuifanyia usajili wa alama za vidole katika Voda shop, walishindwa kunifanyia usajili kwasababu majina niliyotumia kusajili laini yangu ya Vodacom mara ya kwanza yametofautiana na majina yangu yanayoonekana kwenye kitambulisho cha Taifa.
Kwahiyo sina uhakika kama hili jibu ulilolitoa ni kweli yenyewe ilivyo.
 
Ha ha ha kwenye hili zoezi linanichekesha sana suala la watanzania wanaoishi pembezoni kidogo mwa nchi. Huku niliko nilikutana na ishu moja. Alifika mtu alojitambulisha ni Wa kigoma na mwingine Wa kagera wakaambiwa nyie subirini kidogo maana taarifa zenu zinapaswa kuwa za kina kidogo
 
Za kinakivip ina maana sio watanzania
 
Nitajisajili vip wakati sina kitambulisho mkuu
Kwanini mnapenda kuuliza mambo yasiyokuwa na maana? Zoezi hili lilianza muda mrefu sana, dakika za mwishomwisho lijitu linaibuka na maswali ya chekechea. Upuuzi sana.
 
Kwanini mnapenda kuuliza mambo yasiyokuwa na maana? Zoezi hili lilianza muda mrefu sana, dakika za mwishomwisho lijitu linaibuka na maswali ya chekechea. Upuuzi sana.
Hili suala la kujisajili kwa njia ya vidole linatakiwa lisiwe na ukomo
 
Chief.
Mimi laini yangu ya Vodacom nilienda kuifanyia usajili wa alama za vidole katika Voda shop, walishindwa kunifanyia usajili kwasababu majina niliyotumia kusajili laini yangu ya Vodacom mara ya kwanza yametofautiana na majina yangu yanayoonekana kwenye kitambulisho cha Taifa.
Kwahiyo sina uhakika kama hili jibu ulilolitoa ni kweli yenyewe ilivyo.
Hii kwangu ni habari mpya. Kwa upande wangu majina yote ya zamani kwenye laini zungu zote, Tigo, Voda, na Halotel yalibadilika na kusomeka yaliyopo kwenye kitambulisho changu cha NIDA.
Pia nimesajili laini ya Mdogo wangu ya tigo ambayo ilikuwa ina majina yake ya zamani. Baada ya kuisjili yakasomeka majina yangu kama yalivyo kwenye kitambulisho cha NIDA.

Mimi sio Mtaalamu wa haya mambo. Nimetoa majibu kulingana na uzoefu niliopitia wakati naupdate usajili kwa alama za vidole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu zile fomu zinataka uandike namba moja ya simu hapo ndio kuna tatizo??
Kuhusu mkuu kupata namba ya nida jan 27 inamaanisha wewe utakua sio mtumiaji wa mitandao kitu ambacho hakiingi akilini hata kidogo
Iitabidi wajipange sana viongozi wetu😀😀
Hapana atatumia mtandao. Lkn sio line yake ya zamani. Atasajili mpya. Kwa juwa ya zamani imefungwa
 
Mimi nilijiandikisha kupata kitambulisho cha nida mwaka jana, sasa nikijaribu kuangalia namba yangu kwenye mfumo Wa nida kweli website yao haileti majibu naambiwa niende ofisi ya wilaya Niliyojiandikishia,sasa kuepuka usumbufu naweza kujiandikisha tena?huku nilipo naona watu hawachukui muda mrefu wanapata namba fasta, Ila nahofia taarifa zangu kujirudia mara mbili ikiwa Kule nilipojiandikisha zitakuja kutoka baada ya kujiandikisha tena.
 
Neda ofisi za jirani huwenda wana database ya taarifa zako
 
Neda ofisi za jirani huwenda wana database ya taarifa zako
Nilijiandikishia mkoa,kwa sasa nipo dsm,nida makao makuu wanaweza kuwa na taarifa,maana kule ukiuliza wanasema hakuna dalili yA kutoka Leo.
 
Back
Top Bottom